Rais mwenyewe kashindwa kuwashawishi watu kuogopa Corona, kuchanjwa!!! Kuugua kwa mtu mwingine ndo kiwe kishawishi?πππ tunajua Corona ipo na haina chanjo ya kukinga mtu asiipate,Wala chanjo haizuii mtu asife na Corona.Nmejiuliza hili baada ya kusikia hii Video Clip. Sababu kama sikosei naye alikuwa mmoja ya watu waliochanjwa.
View attachment 1933037
Mbaya zaidi wa pinga chanjo hawana hata mahabara za research kuhusu chanjo na corona. Yaani wanabisha tu kuwa wazungu wanataka wawauwee.Nmejiuliza hili baada ya kusikia hii Video Clip. Sababu kama sikosei naye alikuwa mmoja ya watu waliochanjwa.
View attachment 1933037
Ukiugua covid huchanjwi hadi upone,na ukipona inakubidi ukae miezi 6 ndipo uchanjwe,hans pope hakuchanjwaNmejiuliza hili baada ya kusikia hii Video Clip. Sababu kama sikosei naye alikuwa mmoja ya watu waliochanjwa.
View attachment 1933037
Wana lipi jipya ambalo lita wafanya wazungu wawaue?Mbaya zaidi wa pinga chanjo hawana hata mahabara za research kuhusu chanjo na corona. Yaani wanabisha tu kuwa wazungu wanataka wawauwee.
Alishiriki kwenye jaribio la kuundoa madarakani utawala wa Mwalim Nyerere.Alifanya Nini Mwaka huo
Kwa nini usiende shule kwanza?fanya hivyo ndugu yangu.Mbaya zaidi wa pinga chanjo hawana hata mahabara za research kuhusu chanjo na corona. Yaani wanabisha tu kuwa wazungu wanataka wawauwee.
Hiki ndio kilikuwa kizazi cha wanaume wa kweli na sio sisi tuliokuwa tunapelekeshwa na Mwendazake kama watoto wa chekechea.Alishiriki kwenye jaribio la kuundoa madarakani utawala wa Mwalim Nyerere.
Yeye na wanajeshi wenzake wa ngazi ya Luteni na Kapteni walishirikiana na raia kwenye jaribio la mapinduzi.
Lakini mpango wao ulikwama.
Mwaka 1985 alihukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa hilo.
Miaka kumi baadaye yaani mwaka 1995, rais wa wakati huo Ali Hassan Mwinyi aliwasamehe.
Baadhi ya wanajeshi wenzake alioshirikiana nao ni Kepten Rodrick Roshan Robert, Kepteni Mbogoro, Kepteni Mkude, Kepteni Khatib Gadhi aka Hatty McGhee( Huyu alikuwa rai, ni Kepteni wa ndege, Rubani),
Kapteni Badru Rwechungura Kajaja, Luteni Eugene Gaspar Maganga, Luteni Motsela Kamando, Mohamed Tamim, Christopher Kadego, na baadhi ya rai akiwemo George Banyikwa na mkewe Zera.
Wakati huo matukio kama hayo yalipamba moto Afrika Magharibi, hivyo tukio hilo lilipotangazwa Tanzania liliwavutia wengi.
Kwa sababu hiyo kesi yao mwaka 1985 ilikuwa na mvuto wa aina yake
Pengine ugonjwa mwingine lakini alikiri mwenyewe kabisa amelazwa hospital kwa covidKumbe mzee mzima katembea kwa Covid19
nimekuwekea video, mahojiano yake ya mwishoKumbe mzee mzima katembea kwa Covid19
Alichanjwa Nairobi, kabla ya Tanzania kuingiza chanjo, Shida ni kwamba alikuwa na other underlying conditions, hivyo chanjo zinasaidia kidogo sana, kama immune zako ziko chini Covid 19 ikipita hata kama umechanja ni bahati kupona. Watu wake wa karibu wanajua hilo. Jiepushe na maradhi mengine, utakuwa safe unapochanjwa.Wana bodi salaam.
Hans Pope, Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya simba na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi, alifariki dunia wiki iliyopita na kuacha simanzi kwa wapenzi wa mpira, club ya simba, mashabiki na kubwa zaidi familia yake.
Wakati anaumwa na kulazwa, alifanya mahojiano na Maulid Kitenge, na kichwa chake alikiri kuwa amelazwa kwa sababu ya tatizo la covid 19. Lakini natambua kuwa viongozi wa simba na wachezaji, wote walienda Hospital kwa ajili ya chanjo ya uviko 19. Je Hans hakwenda? Hakuchanja? Au ndo sisi ambao tunasubiri kuona effectiveness ya chanjo tuendelee kusubiri? Maana wengi bado tunaona kuchanja ni fashion tu si kwamba kunasaidia kujinga na uviko 19.
Nchi zilizokuwa na mass vaccination, bado maambukizi yako juu na nusu ya waliolazwa ni waliopokea chanjo zote mbili hadi tatu lakini bado gonjwa linasumbua.
Takwimu ziongee
View attachment 1938255
Link:
View attachment 1938255
Hiki umeandika nini?Alichanjwa Nairobi, kabla ya Tanzania kuingiza chanjo, Shida ni kwamba alikuwa na other underlying conditions, hivyo chanjo zinasaidia kidogo sana, kama immune zako ziko chini Covid 19 ikipita hata kama umechanja ni bahati kupona. Watu wake wa karibu wanajua hilo. Jiepushe na maradhi mengine, utakuwa safe unapochanjwa.