TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

Nmejiuliza hili baada ya kusikia hii Video Clip. Sababu kama sikosei naye alikuwa mmoja ya watu waliochanjwa.
View attachment 1933037
Rais mwenyewe kashindwa kuwashawishi watu kuogopa Corona, kuchanjwa!!! Kuugua kwa mtu mwingine ndo kiwe kishawishi?😄😄😄 tunajua Corona ipo na haina chanjo ya kukinga mtu asiipate,Wala chanjo haizuii mtu asife na Corona.
Msipoteze muda fanyeni Mambo mengine Watanzania walishaamua hawachanjwi.
 
Huyu ni kiongozi pekee niliyemsikia aliyeongea hadharani kuchukizwa na tabia za ki-Yuda za Haji Manara. Viongozi Wengine wote wamemchunia Haji, wala hawahangahiki kumjibu mipasho yake.

Rest in Peace Hans Pope.
 
Alifanya Nini Mwaka huo
Alishiriki kwenye jaribio la kuundoa madarakani utawala wa Mwalim Nyerere.

Yeye na wanajeshi wenzake wa ngazi ya Luteni na Kapteni walishirikiana na raia kwenye jaribio la mapinduzi.
Lakini mpango wao ulikwama.

Mwaka 1985 alihukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa hilo.
Miaka kumi baadaye yaani mwaka 1995, rais wa wakati huo Ali Hassan Mwinyi aliwasamehe.

Baadhi ya wanajeshi wenzake alioshirikiana nao ni Kepten Rodrick Roshan Robert, Kepteni Mbogoro, Kepteni Mkude, Kepteni Khatib Gadhi aka Hatty McGhee( Huyu alikuwa rai, ni Kepteni wa ndege, Rubani),

Kapteni Badru Rwechungura Kajaja, Luteni Eugene Gaspar Maganga, Luteni Motsela Kamando, Mohamed Tamim, Christopher Kadego, na baadhi ya rai akiwemo George Banyikwa na mkewe Zera.
Wakati huo matukio kama hayo yalipamba moto Afrika Magharibi, hivyo tukio hilo lilipotangazwa Tanzania liliwavutia wengi.
Kwa sababu hiyo kesi yao mwaka 1985 ilikuwa na mvuto wa aina yake
 
Taifa na wapenda michezo tumempoteza mdau muhimu sana katika nchi yetu ambaye kwahakika Ametoa mchango mkubwa kukuza soka la Tanzania.
Upumzike kwa amani ZHP.
IMG-20210911-WA0106.jpg
 
Mbaya zaidi wa pinga chanjo hawana hata mahabara za research kuhusu chanjo na corona. Yaani wanabisha tu kuwa wazungu wanataka wawauwee.
Kwa nini usiende shule kwanza?fanya hivyo ndugu yangu.
 
Alishiriki kwenye jaribio la kuundoa madarakani utawala wa Mwalim Nyerere.

Yeye na wanajeshi wenzake wa ngazi ya Luteni na Kapteni walishirikiana na raia kwenye jaribio la mapinduzi.
Lakini mpango wao ulikwama.

Mwaka 1985 alihukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa hilo.
Miaka kumi baadaye yaani mwaka 1995, rais wa wakati huo Ali Hassan Mwinyi aliwasamehe.

Baadhi ya wanajeshi wenzake alioshirikiana nao ni Kepten Rodrick Roshan Robert, Kepteni Mbogoro, Kepteni Mkude, Kepteni Khatib Gadhi aka Hatty McGhee( Huyu alikuwa rai, ni Kepteni wa ndege, Rubani),

Kapteni Badru Rwechungura Kajaja, Luteni Eugene Gaspar Maganga, Luteni Motsela Kamando, Mohamed Tamim, Christopher Kadego, na baadhi ya rai akiwemo George Banyikwa na mkewe Zera.
Wakati huo matukio kama hayo yalipamba moto Afrika Magharibi, hivyo tukio hilo lilipotangazwa Tanzania liliwavutia wengi.
Kwa sababu hiyo kesi yao mwaka 1985 ilikuwa na mvuto wa aina yake
Hiki ndio kilikuwa kizazi cha wanaume wa kweli na sio sisi tuliokuwa tunapelekeshwa na Mwendazake kama watoto wa chekechea.

Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema roho ya Marehemu Hans Pope!
 
Wana bodi salaam.

Hans Pope, Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya simba na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi, alifariki dunia wiki iliyopita na kuacha simanzi kwa wapenzi wa mpira, club ya simba, mashabiki na kubwa zaidi familia yake.

Wakati anaumwa na kulazwa, alifanya mahojiano na Maulid Kitenge, na kichwa chake alikiri kuwa amelazwa kwa sababu ya tatizo la covid 19. Lakini natambua kuwa viongozi wa simba na wachezaji, wote walienda Hospital kwa ajili ya chanjo ya uviko 19. Je Hans hakwenda? Hakuchanja? Au ndo sisi ambao tunasubiri kuona effectiveness ya chanjo tuendelee kusubiri? Maana wengi bado tunaona kuchanja ni fashion tu si kwamba kunasaidia kujinga na uviko 19.

Nchi zilizokuwa na mass vaccination, bado maambukizi yako juu na nusu ya waliolazwa ni waliopokea chanjo zote mbili hadi tatu lakini bado gonjwa linasumbua.

Takwimu ziongee

Screenshot_20210915-084532_1[1].jpg

Link:

View attachment 1938255

Link:

View attachment 1938255

Alichanjwa Nairobi, kabla ya Tanzania kuingiza chanjo, Shida ni kwamba alikuwa na other underlying conditions, hivyo chanjo zinasaidia kidogo sana, kama immune zako ziko chini Covid 19 ikipita hata kama umechanja ni bahati kupona. Watu wake wa karibu wanajua hilo. Jiepushe na maradhi mengine, utakuwa safe unapochanjwa.
 
Hiki umeandika nini?
 
Back
Top Bottom