TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

Anakufa kila week?
MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, Zacharia Hans Poppe amefariki Dunia usiku huu katika Hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa matibabu
 
Duh!

Pole kwa familia yake na wanamichezo
 
Kizazi cha enz za nyerere kinaondoka mmoja mmoja kupisha new generations.

Ndio maana kina gulam dewji, bakhressa wameshawaachia watoto waendeshe biashara zao. Wao wanapiga sana ibada wanajiandaa kusepa duniani
Huyu si kizazi cha Nyerere ila baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…