TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

K : Raha Ya Milele Umpe ee Bwana...!
W : Na Mwanga Wa Milele Umwangazie...!
K : Apumzike Kwa Amani..!
W : Aaaaamina.
What a Loss......!
 
Katika kifo hiki ndio tunaweza kuujua unafiki na uzandiki wa wanahabari wa michezo nchini. Maana macho yatakuwa kwa manara badala ya msiba.
Umejuaje? Kaa tulia kwanza acha ndoto
 
Hivi huyu ni mkristo au muislam ?Apumnzike kwa amani. Kwani alikuwa hajachanja ?
 
Huyu mtu alivyoondoka nchini kipindi kile hakutakiwa arudi mpaka jamaa kipindi chake kiishe, kuna watu hautakiwi uwaamini hata kidogo.
 
Apumzike kwa amani. Mbelwme yetu Nyuma yake[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Pamoja na kuwa Simba namm Mwananchi, ila kuna baadhi ya misimamo yake akiongea nilimpenda sana maana hapendi ujinga ujinga, na alikuwa kiboko wawaandishi makanjanja na wenye maswali ya kijinga,picha yako tuliyopiga pale Mkapa stadium 🏟, itabaki kuwa kumbukumbu yangu muhimu. Na siku hiyo nikiwa na uzi wa Yanga ile game ilikuwa Simba vs Mbeya City, ukawa unanitania tania pale na mwisho tukapiga picha

Mwendo umemaliza, RIP 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…