TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

Kizazi cha enz za nyerere kinaondoka mmoja mmoja kupisha new generations.

Ndio maana kina gulam dewji, bakhressa wameshawaachia watoto waendeshe biashara zao. Wao wanapiga sana ibada wanajiandaa kusepa duniani
Ndg. Mauti Hayana rika..hayana umaarufu.. hayana cheo..wala hayana madaraka..
Al-wakati ukifika kila kiumbe kitafikwa na KIFO.
 
Duuu mara ya mwisho nilisikia anahojiwa na akasema alipata maambukizi ya Covid-19. RIP HansPop Simba lia lia.Watani tutakukumbuka
 
Back
Top Bottom