Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Zahara_my guitar ile ngoma ni balaa
R.ip
R.ip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwana juzi hapa alileta uzi hapa sikumbuki heading yake vizuri lkn alikuwa akipinga hisia za ya kwamba ukitajirika watu wako wa karibu wana kuchukia (kwamba siyo kweli) lkn hapa kwa ZAHARA wakati akipigania uhai ndunguze wakampokonya kadi za h
Wapingaji Wakuu wa uwepo wa uchawi ndiyo Makungwi hasa katika uchawi, jiongeze...Kuna mwana juzi hapa alileta uzi hapa sikumbuki heading yake vizuri lkn alikuwa akipinga hisia za ya kwamba ukitajirika watu wako wa karibu wana kuchukia (kwamba siyo kweli) lkn hapa kwa ZAHARA wakati akipigania uhai ndunguze wakampokonya kadi za bank.
Kama siyo Mungu, ndugu wangetamba sana yaaniKabisa mkuu..
Nina mashangazi,baba wadogo na watoto wao kwa uwazi kabisa na Kuwaitis kwa masikio yangu wananiombea nikwame,niishi maisha ya dhiki pengine hata nife jaman 🥹🥹🥹🥹🥹lakini Mungu si jirani yao anazidi kunisongesha mbele kwa mwendo wa tai
Pumzika kwa Amani Zahara .Nyimbo yako iliwahi kunipa laki 3 kwenye karaoke...Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi.
Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35.
Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa wimbo wake "Loliwe".
Wimbo huu uliwahi kunisaidia katika nyakati ngumu.
To be honest with you. Taarifa ya kifo cha Zahara imefanya nafsi yangu iwe troubled kama nafsi ya Yesu ilivyokuwa troubled alipopewa taarifa za kifo cha rafiki yake Lazaro.
Asante Mungu kwa kuipa dunia zawadi ya kipaji kikubwa kama Zahara.
LALA NGOXOLO ZAHARA.
Update: Inadaiwa chanzo cha kifo chake ni multiple organ failure iliyo sababishwa na yeye kulishwa sumu na mmoja kati ya wanafamilia mara baada ya Zahara kutolewa mahari..
Taarifa nyingine inadai kwamba Zahara alilishwa sumu ya kichawi " muthi" kwenye chakula wakati ya sherehe ya kulipa mahari yake.
Duh kwamba kuna mwanafamilia alichukia kuona Zahara katolewa mahari? Just like that? Ooh please God protect your children from evil.
---
View attachment 2839995
Tasnia ya Burudani nchini humo imepata pigo lingine kutokana taarifa za kifo cha Mwimbaji Bulelwa Mkutukana maarufu Zahara (35) baada ya vifo vya AKA Februari 10, na CostaTitch, Machi 11, 2023.
Taarifa zimeeleza kuwa Kifo cha Zahara aliyetamba na nyimbo mbalimbali zikiwemo Loliwe' na Phendula kimetokea katika Hospitalini Jijini Johannesburg alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa takriban Wiki 2. Pia kuna taarifa kuwa maradhi hayo yalisababishwa na sumu aliyowekewa na mmoja wa Mwanafamilia katika Sherehe ya baada ya kutolewa Mahari.
Vyombo vya Habari nchi humo vimeripoti kuwa siku chache kabla ya Kifo cha Zahara, Dada zake walichukua Kadi zake za Benki na kwenda 'Shopping' huku ndugu yao akipigania uhai wake Hospitali.
Enzi za Uhai wake Zahara aliwahi kuja Tanzania Oktoba 2018 ambapo alitoa burudani Jukwaa moja na Juliana Kanyomozi wa Uganda, na LadyJayDee katika Tamasha la Vocals Night liliondaliwa na Lady JayDee.
Wimbo mkali sana huoAiseee, huyu sister kafariki!? Mimi ni mmoja ya mashabiki zake wakutupwa. Apumzike salama Zahara. Destiny ni wimbo wangu bora kabisa kati ya nyimbo kali nyingi alizowahi kutoa.
Mkuu raraa reree binadamu wengi ni zaidi ya wanyama.
Sasa usipowaeleza michango ya harusi itatoka wapiVijana wanaotaka kuoa na kuolewa wanapaswa kufahamu kuwa kuna vita kali sana katika hilo jambo hivyo wasijiachie sana na wakasahau kumtanguliza Mungu. Usimwamini mtu wala kumueleza kila mtu kuhusiana na mipango yako, Mara zote shetani hapendi kuona watu wanaopendana wakikaa pamoja na kuanzisha familia
Apumzike panapostahili, kule Makapuku Forum tumecheza sana nyimbo zake na kufurahia umahiri wake kwenye kucheza na gitaa. Hapa ni kama alijiimbia, Ndiza (Nitakuja)
So deep.....dahIt must be the train was pushing so deep.
...hakuna namna, mpatie, machozi ni tiba na msibani hawazuiliwi kulia maana ndiyo namna bora ya kumsahau marehemu kwa mabaya yake na kuyaishi mazuri yakeKuna mtu nikimpa hizi taarifa kuwa muimbaji wa wimbo wa "ndiza" kafariki atalia sana
Na atheist ndo wachungaji wakuu?Wapingaji Wakuu wa uwepo wa uchawi ndiyo Makungwi hasa katika uchawi, jiongeze...
Hawana mambo ya undugu? Lakini daily mke anamuua mume kwa ajili ya insurance, mume anamuua mke kwa ajili ya insurance, mtoto anamuua mzazi na mzazi mtoto kwa ajili ya insuranceNdugu jamani🥲 ndio maana wazungu hawana mambo ya undugu
Ugonjwa wa Ini unasababishwa na unjwaji pombe kali uliopitiliza.Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi.
Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35.
Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa wimbo wake "Loliwe".
Wimbo huu uliwahi kunisaidia katika nyakati ngumu.
To be honest with you. Taarifa ya kifo cha Zahara imefanya nafsi yangu iwe troubled kama nafsi ya Yesu ilivyokuwa troubled alipopewa taarifa za kifo cha rafiki yake Lazaro.
Asante Mungu kwa kuipa dunia zawadi ya kipaji kikubwa kama Zahara.
LALA NGOXOLO ZAHARA.
Update: Inadaiwa chanzo cha kifo chake ni multiple organ failure iliyo sababishwa na yeye kulishwa sumu na mmoja kati ya wanafamilia mara baada ya Zahara kutolewa mahari..
Taarifa nyingine inadai kwamba Zahara alilishwa sumu ya kichawi " muthi" kwenye chakula wakati ya sherehe ya kulipa mahari yake.
Duh kwamba kuna mwanafamilia alichukia kuona Zahara katolewa mahari? Just like that? Ooh please God protect your children from evil.
---
View attachment 2839995
Tasnia ya Burudani nchini humo imepata pigo lingine kutokana taarifa za kifo cha Mwimbaji Bulelwa Mkutukana maarufu Zahara (35) baada ya vifo vya AKA Februari 10, na CostaTitch, Machi 11, 2023.
Taarifa zimeeleza kuwa Kifo cha Zahara aliyetamba na nyimbo mbalimbali zikiwemo Loliwe' na Phendula kimetokea katika Hospitalini Jijini Johannesburg alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa takriban Wiki 2. Pia kuna taarifa kuwa maradhi hayo yalisababishwa na sumu aliyowekewa na mmoja wa Mwanafamilia katika Sherehe ya baada ya kutolewa Mahari.
Vyombo vya Habari nchi humo vimeripoti kuwa siku chache kabla ya Kifo cha Zahara, Dada zake walichukua Kadi zake za Benki na kwenda 'Shopping' huku ndugu yao akipigania uhai wake Hospitali.
Enzi za Uhai wake Zahara aliwahi kuja Tanzania Oktoba 2018 ambapo alitoa burudani Jukwaa moja na Juliana Kanyomozi wa Uganda, na LadyJayDee katika Tamasha la Vocals Night liliondaliwa na Lady JayDee.
Wachungaji Wakuu ndiyo wanaweza kuwa Mawakala wazuri sana wa Shetani, kwani hujui kuwa penye msafara wa mamba kenge wamo?Na atheist ndo wachungaji wakuu?