Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Dua gani Waislam hatuwaombei wasio WaislamMzee ndo aina ya maisha tunapaswa kuishi, hakujari dini mwanae amefuata, alizidisha upendo na dua kwa binti yake.
Umuoe lakini sio unamyumbisha binti wa watuNa Mimi nataka nimbadili dini mtoto mmoja hv mashallah
Mzee Zahir Zorro ni mfano mzuri wa flexible parent.Shida ni watu kutotaka kuheshimu maamuzi ya mtu mzima. Mwanao anafata kwa kurithi dini/imani unayofuata mzazi, lakini anapokuwa mkubwa ana uhuru wa kufuata imani anayopenda mwenyewe. Mzee Zorro bila shaka anaheshimu hili.
Mkuu naoa , mchango wako kwenye Harusi ni mhimu brotherUmuoe lakini sio unamyumbisha binti wa watu
Dini pia zinatuunganisha kama jamii, usilolijua vitu vingi Africa ni vyakuja uwezi kuvikwepa.Hili ndilo tatizo la sisi waafrika kutumia muda mwingi kufuatilia dini hizi za kuja na maisha binafsi ya familia za watu badala ya masuala yanayotuunganisha kama jamii.
Hapana, alikuwa mvaa mawigi kama dada zako.Ni mvaa nikabu kama wewe
Hivi hapo wewe na bibi ni nani ambae alishindwa kufahamu ni kitu gani alikfuata shule?Mama yake Yesu ni myahudi ndio maana alivaa nikabu.
Sasa na wewe bibi ni myahudi?
Halafu ni "alivaa" sio "anavaa". Kwani huko shule ulienda kusomea ujinga?
Hata hivyo majina ndio yanawakilisha din usipinge wewe coz hayo majina yana maana kidini husika , so mfano rashid na ukristo wapi na wapi sema alibadili ila kwakuwa alizoeleka na jina hilo akabaki nalo na ndio maana kwa sisi wakristo lazima ubatizwe na jina jipya unapewa lazimaI am Mkuu wa Malawi anaitwa Sheikh Daniel
Mchezaji mpira wa zamani wa Nigeria aliitwa Rashid Yekini alikuwa Mkristo
Emmanuel Amunike alikuwa Mchezaji pia ni Muislam
Kuna watu wako busy na majina ya kiarabu na kizungu ku assess dini za watu
Wewe hata kuandika tu ukaeleweka huwezi, nikikuita zumbukuku nitakuwa nimekosea?Hivi hapo wewe na bibi ni nani ambae alishindwa kufahamu ni kitu gani alikfuata shule?
Mama wa Yesu leo hii tupo wapi hadi ufikiriwe kwamba unaweza kumuona akiwa amevaa hiyo nikabu.
Hali hiyo ulihudhuria shule, atujui kama usingehuria hata kwa kiasi hicho ujinga wako ungekuwa wa kiwango gan.!
Hutaweza kuelewa kama una akili za hovyo,soma Qur an uelewe kijana.
Qur an 6:7,Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.
Qur an haikushuka ya makaratasi,kipindi inashuka hakukuwa na makaratasi,miujiza yake ndio inawafanya nyie washirikina mseme ni uchawi,hakuna sehemu imeandikwa kwamba qur an ni uchawi.
Yaani nimelelewa vizuri kwenye hizi dini zote, so unapoteza muda. Nazijua vizuri sana, pamoja na Buddhism. Dua anaombewa mwanadam sio dini. Uislam sio dini ya ubaguzi kama unavyofikiria wewe na akili zako ndogo. Nimekua na vingozi wa dini hii mara nyingi sijasikia wakisema ubaguzi. Hata msikitini hauendi unaishia kelele humu, get out here bitch assDua gani Waislam hatuwaombei wasio Waislam
labda aombe kwa mizimu ya babu yake wa kimanyema
lakini uislam hauruhusu hilo na hata hiyo DUA aikubaliwi
Frank Riberry alikuwa mchezaji nayèye ni muislamu na pia hata Thiery Henry.I am Mkuu wa Malawi anaitwa Sheikh Daniel
Mchezaji mpira wa zamani wa Nigeria aliitwa Rashid Yekini alikuwa Mkristo
Emmanuel Amunike alikuwa Mchezaji pia ni Muislam
Kuna watu wako busy na majina ya kiarabu na kizungu ku assess dini za watu
HAKUNA KITU KIGUMU KAMA MUISLAM KUBADILI DINI. YAANI MBUNGI LAKE SI LA KITOTO. UKIONA MTOTO WA KIISLAM AMEBADILI BASI KUNA MAWILI.Tupo wengi, wangu alibadili kabla sijamuoa na sasa kapitiliza mpaka kawa mlokole.