Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wakinivamia nitamkodi Kwa muda Hana baya nduguyangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna watu walinichukia kisa utani na mabwana zao, sasa hawaniambii mwenyewe direct wanaweka vikao piem. Nilitaka waje live tupeane makavu yaishe
Ni vitu serious?au utani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna watu walinichukia kisa utani na mabwana zao, sasa hawaniambii mwenyewe direct wanaweka vikao piem. Nilitaka waje live tupeane makavu yaishe
Sasa hivi dawa waje na majina ya mabwana zao Ili tufanye nao usaili tukiwapitisha wawe wake wenza yaishe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tulikuwa tunawachangamsha kipenzi [emoji23][emoji23]zai itakuwa ana undugu na@cute wife

Mimi ndiomana selfika nimeacha kuja, naona kuna watu nawanyima raha na mabwana zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ndiomana selfika nimeacha kuja, naona kuna watu nawanyima raha na mabwana zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pumzika ndugu watatutoa roho mm nauchungulia Kwa mbali sitak shida ndogondogo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sasa hivi dawa waje na majina ya mabwana zao Ili tufanye nao usaili tukiwapitisha wawe wake wenza yaishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wao wasikae na maumivu moyoni wajitaje hata km tupo kumi tunatosha kuwa uke wenza, atakayeshindwa aage mashindano [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wao wasikae na maumivu moyoni wajitaje hata km tupo kumi tunatosha kuwa uke wenza, atakayeshindwa aage mashindano [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaanzaje bwana mmoja ana max 4 wapenz 6 hawajuani wajitaje wanajitaka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Pumzika ndugu watatutoa roho mm nauchungulia Kwa mbali sitak shida ndogondogo[emoji3][emoji3] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu wanajiongelesha na kujijibu wenyewe khaaaaaaa!!

Uzuri mimi hawanipi presha kwanza kwa status ya babe wangu hawezi kuonana nao wataishia kujichekesha tu [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila Jamani
 
Wanaanzaje bwana mmoja ana max 4 wapenz 6 hawajuani wajitaje wanajitaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaa!!!
Jf sihami labda waniue!!! Afu bado unasikia wivu km sio uchizi ni nini??
 
Huyo demu miyeyusho sana
Kuna stori anasema mme wake alikua anampigia simu anamwambiaa aandae chakula kama ni samaki atoe miba kabisa mmewe akija tonge tatu kamaliza kilo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ile aliyomkimbiza mtoto wake huku kafunga kitenge shingoni, wakaingia mpk barabarani afu anasema โ€œWanakula kiyoyozi (Upepo)โ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ