[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ile nilicheka mpk sio powa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mume anaenda kazini, unajua kazi ya maana kumbe anaenda kutumwa kuosha vyombo na wahindi
tajiri mbeba lawama ππ we jizime data tuTajiri unafeli unavyochelewesha muamala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile interview nilicheka mno.
Diva alikuwa anacheka hadi machozi...
tajiri mbeba lawama [emoji23][emoji23] we jizime data tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna ile wanaume wa uswazi gheto wana siki (Pilipili) zao eti wamejaza mbilimbi nyingi, ukienda na vichips vyake gheto yeye anatoa siki iliyogwaduka msindikizie chips [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππ ntakukamataWapi wewe unazingua [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] ntakukamata
atokee yule Bw si nitaitiwa mwizi mimi[emoji23][emoji23][emoji23] Anza kunikimbiza
atokee yule Bw si nitaitiwa mwizi mimi
yule bw kaaaaaatri ππNani tena tajiri unayemsema? Emu anza kunikimbiza bas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yule bw kaaaaaatri [emoji23][emoji23]
hamuachanagi nyie ππ[emoji23][emoji23][emoji23] Yule kaniacha mbona hivi taarifa huna??
hamuachanagi nyie [emoji23][emoji23]
dah pole sana ila yatapita yanamwiiiiiiiiiisho, vumilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann?? Kweli ss hivi nimepewa talaka ya wino mwekundu
Acha tu nijipoze na U fresh, kwan kitu gani? Aliachwa malkia Elizabeth na UK iliendelea kushine itakuwa mimi?!!! ππππdah pole sana ila yatapita yanamwiiiiiiiiiisho, vumilia
kwa maneno hayo ndio maana uliachwa ππAcha tu nijipoze na U fresh, kwan kitu gani? Aliachwa malkia Elizabeth na UK iliendelea kushine itakuwa mimi?!!! ππππ
kwa maneno hayo ndio maana uliachwa [emoji23][emoji23]
Ni dada yake binamu,zai ni mtoto wa shangazi, cute ni wamjomba.....nilikuwa nawatilia live kwenye ule mchangamsho wenu nikasema Aaliyah na upole wake akivamiwa na wenye baby zao ataanza kulia,ila nikajua yupo binamu yake zai nikatulia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unawashwa sana?Sasa nani amesema kuna kosa? Au umeamua tu kujipendekeza? Kwani upande wangu ndio kuna kosa?
Sio kweli, nishawahi kutoswa mara mbili na pisi za maana. Haikuniuma wala nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaogopa utamkataa, hakuna watu wanaumia wakikataliwa km wanaume