Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.
Nawatakia kila la kheri.