Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

migambo wanaruka na kukanyaga sio?🤣

kati ya hao wangapi wako kwenye mazoezi ya kitaalamu kwa vitendo yaani field?šŸ’
Ndo elimu na ufahamu wako umeishia hapo,au tutarajie swali lingine linye mantiki na akili Zaid ??
 
Huo mshikamano ungeonyeshwa kwa vibibi vinavyohangaika kwa kunyanganywa mashamba huko au wale wazee wanozungushwa na kutokulipwa pensheni zao the world would have been a better place..., Ila ndio hivyo Siasa ishakuwa kama ulaghai tu (talking the talk and not walking the walk) no wonder watu wanaachana na siasa na kufanya mengine
Wewe kupitia taaluma yako umevisaidia nini hivyo vibibi?. Kila mtu anataka kutengeneza wasifu wake na Lissu ni brand kubwa kwenye nyanja ya sheria kwaiyo watu wengi wa kwenye field iyo lazima watataka kuji-associate nae
 
Hivi hizi kesi a.k.a mashauri huwa ni nani huwa anayapa hadhi ya kuitwa hivyo?

Sasa kama mtu anafunguliwa kesi au shauri halafu anashinda kwanini yasingeitwa maneno au wazo au tuhuma tu?

Sasa mawakili 800 sasa wanapata muda wapi wa kila mmoja kuwasilisha utetezi wake???
Pomposity, mawakili watano wanatosha
 
Mawakili wasio na kazi za kufanya ndio watajazana kuuza sura na kuonyesha show off ya suti zao na majoho ya kiwakili kugeuza mahakama kama sehemu ya fashion show

Wakati hawana chochote cha kufanya zaidi ya kuuza sura

Mbunge Mpina alikuwa na mawakili 100
Na majaji wakampiga chini akashindwa kesi
Issue sio uwingi wa Mawakili mahakamani
Iyo ni field yao, hata wakijitokeza tu mahakamani kusikiliza kesi itawaongezea maarifa kwaiyo hakuna shida yoyote kwao wao kujihusisha na iyo kesi.
 
Too many cooks spoils the broth nadhani hao mia nane hata hamsini tu wangetosha alafu hao wengine kila mmoja akachukua kesi za kitaa hata kumi kumi tu, kwa wale wasio na uwezo wa kupata a good representation (nadhani they could have made a bigger difference)
Nafikiri majority hapo watakuwa interested observers na washauri tu.
 
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.

Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.

Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.

Nawatakia kila la kheri.
Nimecheka sana, Chawa V/S Mawakili 800?
 
Tumia akili badala ya makalio, ndio maana wananchi wanawadharau
 
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.

Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.

Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.

Nawatakia kila la kheri.
We ni binadamu gani huoni ht haya kuandika huu uchafu?
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Wewe kupitia taaluma yako umevisaidia nini hivyo vibibi?. Kila mtu anataka kutengeneza wasifu wake na Lissu ni brand kubwa kwenye nyanja ya sheria kwaiyo watu wengi wa kwenye field iyo lazima watataka kuji-associate nae
Kwahio issue ni mimi kusaidia vibibi au ni kama nilivyosema deed wanayofanya hao impact yake zaidi ya kuuza sura na personal gains; nikafika mbali kabisa kusema kwamba hao wapishi wengi huko wataharibu mchuzi huo muda hata wangechukua vibibi kumi kumi kila mmoja impact yake ingekuwa kubwa sana
 
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.

Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.

Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.

Nawatakia kila la kheri.
Hii thread ni ya utopolo na imeletwa hapa JF na nyumbu! 🤣
 
Hivi kwani kuna mawakili ambao sio wasomi? Kwani mtu atanaweza kuwa wakili bila ya kusoma? Naona mara engineer msomi, wakili msomi etc etc ni ushamba gani huu?
 
Back
Top Bottom