Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
I wish tungekinukisha..mwe kweli hii bongolalaLisu kapata umaarufu maradufu baada ya kukamatwa, kweli chura kapigwa teke.....

Tumerogwa 😂I wish tungekinukisha..mwe kweli hii bongolala
Likiwepo jamb la ngono tuko activeTumerogwa 😂
Haikufutwa ni maridhiano tu 😂
Cooks spoils? elimu ya ccm hiiToo many cooks spoils the broth nadhani hao mia nane hata hamsini tu wangetosha alafu hao wengine kila mmoja akachukua kesi za kitaa hata kumi kumi tu, kwa wale wasio na uwezo wa kupata a good representation (nadhani they could have made a bigger difference)
Itafanana na ya OJ Simpson na ile ya Michael Jackson CNN mwanzo mwishoKesi itaripotiwa hadi CNN
Lumumba wamepandwa na pepo wachafu wananchi tumechoka kuporwa haki zetumigambo wanaruka na kukanyaga sio?🤣
kati ya hao wangapi wako kwenye mazoezi ya kitaalamu kwa vitendo yaani field?🐒
Jamaaa umevuta cha Arusha!!!!!!!Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.
Nawatakia kila la kheri.
Wataahiriaha gari la kuwapeleka mahakamani watuhumiwa haitakiwepo, kikikikiTetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.
Nawatakia kila la kheri.
gentleman,Lumumba wamepandwa na pepo wachafu wananchi tumechoka kuporwa haki zetu

Emen!!800 ni kuonesha solidality dhidi ya Dhulma
Mbona wachache sana hao? Mimi nilitarajia wanachama wa TLS WOTE wakiongozwa na Mwabukusi watakuwa mahakamani siku hiyo? Wengine wameenda wapi? Hii sio fair kabisa!!!!!!Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.
Nawatakia kila la kheri.
Record zinawabeba, matter of fact wamekuwa wakipata mawakili bora na kutoboa kesi nyingi tu.Chakandumuz wamekua kama watoto waliokosa malezi
They think sheria ni Kama ushabiki wa mpira kwamba Mawakili wakiwa wengi labda sauti zitakua kubwa na ndio watakua na better outcome
Hawana "akiri" ila wana "akili" nyingi sana.Kifupi mswakili nao hawana akiri. Wanatafta attention tu.
Tena sana !Hii nchi ngumu sana
Haikufutwa wala hakukua na matidhiano bali ingeisha bila mwafaka maana hakukuwa na kesi pale
Maridhiano hayafuti kesi kubwa kama ugaidi bali walikosa ushahidi au umeisha sahau muziki wa KibatalaHaikufutwa ni maridhiano tu 😂
...Haahaa wote hao watapata nafasi?Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.