Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

Kwahio issue ni mimi kusaidia vibibi au ni kama nilivyosema deed wanayofanya hao impact yake zaidi ya kuuza sura na personal gains; nikafika mbali kabisa kusema kwamba hao wapishi wengi huko wataharibu mchuzi huo muda hata wangechukua vibibi kumi kumi kila mmoja impact yake ingekuwa kubwa sana
Kila mtu ana maisha yake wao wameamua kuchukua maamuzi hayo na kama wewe unaona kutoa msaada ni muhimu zaidi tafuta kundi la jamii lenye uhitaji toa msaada wako.
 
Nimesema maisha sio yao au nimesema wapi wanaweza kuwa na impact zaidi ?

Ngoja nikupe point za niliyosema; 1) Wapishi wengi uharibu Mchuzi 2) Hapo hata wakibaki hamsini na wengine wakachukua kesi za vibibi hata kumi kumi kungekuwa na impact kubwa...; Hizo ni hoja bila kujali hata personalities zao sasa unaweza ukapinga kwa hoja; Ukizingatia nimeweka really motive / accomplishment hapo inaweza kuwa kuuza Sura... (as is politics in this day and age)
 
kuna wajane wamedhulumiwa nyumba na mashamba hawa mawakili wala hawashughuliki kuwatetea, huyu lissu hatabila wakili anaweza jitetea mwenyewe ndo wanajazana, wanashusha tu hadhi ya uwakili, kuna kanuni inasema usifanye uwakili bila malipo utadharaulika,
 
Mh. Tundu ni tanki kubwa, 800 tu

Nawambieni wenzangu wa CHADEMA tusiache kuhoji zile pesa za tone tone zinazo kusanywa, hawa mia nane wajitolee kama kweli wanatupenda hivo

Pro borno
 
Haters
 
kuna wajane wamedhulumiwa nyumba na mashamba hawa mawakili wala hawashughuliki kuwatetea, huyu lissu hatabila wakili anaweza jitetea mwenyewe ndo wanajazana, wanashusha tu hadhi ya uwakili, kuna kanuni inasema usifanye uwakili bila malipo utadharaulika,
Wajane wambie tuungane kweny no reform no election. Watapata haki zao.
 
Afrika sisi bado sio binadamu Kamili mtu anapigania mifumo iwe mizuri kila mtu afaidike na hii Nchi lakini wanaishia kumpa kesi ya Uani
 
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.

Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.

Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.

Nawatakia kila la kheri.
Mawakili wa serikali wanaweza kuhara mbele ya mahakama, usifanye mchezo
 
Mahakimu wataichezea hiyo Case utasikia leo hakimu ana pressure haji mpaka baada ya miezi4
 
Afrika sisi bado sio binadamu Kamili mtu anapigania mifumo iwe mizuri kila mtu afaidike na hii Nchi lakini wanaishia kumpa kesi ya Uani
Unashangaa kabisa kuna tokea kundi la watu wanatumia mali nyingi kuwekeza kuzuia hilo
 
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.

Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.

Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.

Nawatakia kila la kheri.
Kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosi, huo ni mfumo uelewe hivyo.
 
Back
Top Bottom