Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

Record zinawabeba, matter of fact wamekuwa wakipata mawakili bora na kutoboa kesi nyingi tu.
Hilo la wanasheria wengi ni kuonyesha support but kuna team ipo kwa ajili ya kesi
And kama ilivyo ada, watashinda na kama kawa dop ata drop kesi
Script inaendelea
The government itapeleka watu watatu au wanne

Halafu chakandumu wanapeleka 800, kweli it takes a village to face the three little government people
 
Last time i check is not about idadi ya mawakili, as i said, wanaongezeka ni ku show support kwa mwanasheria mwenzao. Lakini actualy legal team yake hawapo wengi kiasi hiko.
As usual mwisho wa siku yatakuwa yale yale, dpp at drop case kama kawa
 
Kuna yule janjajanja kila kesi yu.o na anashindwa hatakosekana
 
Last time i check is not about idadi ya mawakili, as i said, wanaongezeka ni ku show support kwa mwanasheria mwenzao. Lakini actualy legal team yake hawapo wengi kiasi hiko.
As usual mwisho wa siku yatakuwa yale yale, dpp at drop case kama kawa
Hakuna chochote

Sound tu
 
The government itapeleka watu watatu au wanne

Halafu chakandumu wanapeleka 800, kweli it takes a village to face the three little government people
Wamuulize mbunge Luhaga Mpina alienda na nawakili 100 na ajaougwa chini kesi akashindwa
 
Back
Top Bottom