Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.

Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.

Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.

Nawatakia kila la kheri.
 
Hivi hizi kesi a.k.a mashauri huwa ni nani huwa anayapa hadhi ya kuitwa hivyo?

Sasa kama mtu anafunguliwa kesi au shauri halafu anashinda kwanini yasingeitwa maneno au wazo au tuhuma tu?

Sasa mawakili 800 sasa wanapata muda wapi wa kila mmoja kuwasilisha utetezi wake???
 
800 ni kuonesha solidality dhidi ya Dhulma
 
Too many cooks spoils the broth nadhani hao mia nane hata hamsini tu wangetosha alafu hao wengine kila mmoja akachukua kesi za kitaa hata kumi kumi tu, kwa wale wasio na uwezo wa kupata a good representation (nadhani they could have made a bigger difference)
 
Hizi kesi huwa zinatokea once in half century years. College students, law scholars na Interns ni muhimu kuchukua advantage
 
Kifupi mswakili nao hawana akiri. Wanatafta attention tu.
 
migambo wanaruka na kukanyaga sio?🤣

kati ya hao wangapi wako kwenye mazoezi ya kitaalamu kwa vitendo yaani field?🐒
 
Hahahahaaaaaa

Watakua nyumbu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…