Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

1. Hoja yako Ina mashiko sana; ila mahsusi kwa tuliosoma Cuba tu.

Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

2. Watajulie wapi haya kina Mpaji Mungu, denoo JG, Mzee kigogo na wafia dini wenzao kutokea jalalani pale?
brazaj umepoteza muelekeo siku nyingi sana mjomba, sasa umebaki kuimba tu wewe sio muislamu, huijui haki wala maana yake, wewe ni mshabiki na ndio maana huwa unajibiwa humu kwa namna ile ile unayokuja nayo, ajabu hujioni!.

Unaona haki za wapalestina tu siku zote, huo kama sio unafiki ni kitu gani? wacha kujidanganya na haya mapambio yako.
 
Wale kuna chances walikuwa wanajeshi wa idf , halafu kushirikiana na serikali ya extremist ya israel ambayo hata wazungu wenzao wamewaona kama wamepata ukichaa ni ujinga pia , sasahivi netanyahu kaitia doa sana israel wote tumejua kumbe weupe sana bila ya marekani
Wotw tumejua kwamba wao na hitler hawana tofauti
Huwezi kumwita mtu gaidi kwakuwa anatetea haki zake, hata wasomi wa vyuo vikuu marekani wanaandamana wameshaijua ukweli hakuna cha ugaidi ni wizi wa ardhi na ukoloni ndio kinachofanyika in the name of ugaidi
Walikua wanafunzi wameenda kwa ajili ya kujifunza shughuli za kilimo magaidi wakawauwa kikatili kabisa.
Na ndio maana mkubwa wa kazi netanyahu anajitahidi kuutokomeza mtandao wa ugaidi hapo Gaza na Middle East kwa ujumla.
 
Tunataka kuifanya ardhi ya Gaza irudi katika sura ya wakati dunia inaumbwa.

God Bless Israel
 
1. Kwani Mau Mau, maji maji, au vita vya ukombozi kwingine viliuwa wasio na hatia wakiwamo wanzania wangapi?

Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

2. Ama kweli vijana jeuri wa Nyerere waliishia na kina Zitto jalalani pale!

3. Bure kabisa!
Huu ndio ujinga wako, kuhalalisha mauaji ya watanzania wenzio wasio na hatia, kisa Mau Mau na kwingine wapo waliouliwa wasiokuwa na hatia.

Wewe ni msukule wa waarabu, umeshaambiwa two wrongs can't make it right, sasa kwanini wewe unashindwa kukemea huo uhalifu waliofanyiwa watanzania wenzio? au wewe ni mkimbizi unayeishi hapa Tanzania?

Hujielewi, usilitumie jina la Nyerere na nukuu yake kwenye ujinga wako, Nyerere hakuwa mnafiki kama wewe.

Umekuwa mpiga kelele tu na hoja zako za kitoto zisizo na mashiko, kuwadanganya wajinga wenzio kwa mipasho, very cheap.

IDF hawaondoki Gaza mpaka wamalize kuwatandika magaidi wa Hamas hata ikifikia miaka miwili, nenda kawasaidie.
 
End of story. Mengine kelele tu.

Mtu hawezi kuacha kukumbuka mauaji ya ndugu zetu wasio na hatia, ajabu kila siku akawa analilia wapalestina wanaouliwa kwa kuwaficha hao Hamas.

Bila kwanza mtu kulaani mauaji ya watanzania wenzetu wasio na hatia yaliyofanywa na Hamas, basi malalamiko mengine yote kuhusu Gaza na Israel ni unafiki mtupu.

Haki siku zote iko pande mbili, hakuna haki ya upande mmoja pekee, unless mtu awe anasukumwa na ajenda nyingine ya siri anayoona aibu kuisema wazi.

1. Kutokea jalalani uyaelewe wapi haya?

Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

2. Hukusoma Cuba uyajulie wapi haya?

3. Kwa taarifa yako Tanzania ya Nyerere wamefia watu nje ya nchi wakipigania ukombozi wao.

4. Au huyu mwamba unadhani alikuwa mcongo au hata mcuba?

CheHigh.jpg

5. Leo hii watanzania wangapi wamefia congo? Au hata wamarekani wangapi wanafia si kwao?

6. Hivi kwani hata mnawakumbuka kina Lijenje, Ben, Azory nk? Au ni vilio vya mamba tu?
 
Unarudia kuandika ujinga huo huo, nimeshakwambia "two wrongs cant make it right" wakina Saa Nane na Azory walipigiwa kelele sana humu ndani..

Au kwako roho zenye thamani ni za wakina Saa Nane na Azory peke yao, wale watanzania waliouwawa na Hamas roho zao hazikuwa na thamani?!

Vipi wewe mbona unakuwa mgumu kuwapigia kelele watanzania waliouliwa na magaidi wa Hamas? kachezee akili za wajinga na wanafiki wenzio, huijui haki unapiga kelele tu.
 
Huu ndio ujinga wako, kuhalalisha mauaji ya watanzania wenzio wasio na hatia, kisa Mau Mau na kwingine wapo waliouliwa wasiokuwa na hatia.

Wewe ni msukule wa waarabu, umeshaambiwa two wrongs can't make it right, sasa kwanini wewe unashindwa kukemea huo uhalifu waliofanyiwa watanzania wenzio? au wewe ni mkimbizi unayeishi hapa Tanzania?

Hujielewi, usilitumie jina la Nyerere na nukuu yake kwenye ujinga wako, Nyerere hakuwa mnafiki kama wewe.

Umekuwa mpiga kelele tu na hoja zako za kitoto zisizo na mashiko, kuwadanganya wajinga wenzio kwa mipasho, very cheap.

IDF hawaondoki Gaza mpaka wamalize kuwatandika magaidi wa Hamas hata ikifikia miaka miwili.

1. Mamlaka ya kumwita mtu kuwa mjinga unayapata wapi mburula wewe?

2. Huna mamlaka ya kuniita lolote kwa sababu tu ya kuguswa na hoja zangu vilivyo.

3. Kwa taarifa yako wanao niunga mkono ni wengi sana bila kusahau 3 + 2 = 5 bila kujali wapumbavu wangapi mnasema ni 30.

4. Nyerere?! Sina shaka yoyote kuwa Nina great admiration kwake na waumini wake wengi popote waliko.

5. Kwani unaweza kutumia nukuu ya nani mburula wewe ambaye bila shaka hata jalalani huna credentials hata za kukuwezesha kuweka mguu pale?

6. Ukimbizi? Kwa nini mkimbizi usiwe wewe ndugu? Kwa andiko langu tu ni dhahiri kuwa uzalendo wangu ni wa damu, mwili na roho!

7. Wabinafsi kama ninyi haipo shaka kuwa si wazalendo na bila shaka ukimbizi na huo urwanda muukimbiliao maji yakizidi unga wapumbavu huutumia Kwa wapumbavu wakimbizi wenzenu.

8. Shabiki wa mwarabu? Hata wa Simba, Yanga, arsenal, Chadema au u CCM Sina! Uje kuwa wa mtu au taifa gani? Ama kweli Kwa kuwa shabiki wako tu kwa lolote, nisiache kukufahamisha huo ndiyo ubumunda wenyewe. "Ya kuwa, indeed wewe ni bumunda!"

9. Watanzania walikufa?! Sijakuona ukiwalilia kina Ben, Lijenje, Azory, Mawazo, au waliokuwa kwenye viroba. Au hao kwako hao ilikuwa sawa?

9. Usisahau ndugu: wewe huna mamlaka yoyote juu yangu kuniamrisha au kunitaka kufanya au hata kunitaka ku behave utakavyo. Zingatia wewe Waka si mke wangu!

BTW who are you?
 
napata picha Hamas ingekua jeshi kamili la kumiliki vifaru,drones na ndege za kivita Israel angepigika mpaka akasinyaa.
 
Unarudia kuandika ujinga huo huo, nimeshakwambia "two wrongs cant make it right" wakina Saa Nane na Azory walipigiwa kelele sana humu ndani..

Au kwako roho zenye thamani ni za wakina Saa Nane na Azory peke yao, wale watanzania waliouwawa na Hamas roho zao hazikuwa na thamani?!

Vipi wewe mbona unakuwa mgumu kuwapigia kelele watanzania waliouliwa na magaidi wa Hamas? kachezee akili za wajinga na wanafiki wenzio, huijui haki unapiga kelele tu.

1. Unarudia kuandika ujinga ule ule. Miye siko katika himaya yako wala huna Cha kufanya nami!

2. Ushauri wa bure: hifadhi nasaha zako Kwa wanao, mkeo au mumeo.

3. Vitani hufa waliomo na wasiokuwamo; hukuwahi kusikia vita havina macho?

4. Kwanini Ben Lijenje Azory Mawazo au wa kwenye viroba? Mbona u mgumu kuwaongelea hao? Walia machozi ya mamba siyo?
 
Walikua wanafunzi wameenda kwa ajili ya kujifunza shughuli za kilimo magaidi wakawauwa kikatili kabisa.
Na ndio maana mkubwa wa kazi netanyahu anajitahidi kuutokomeza mtandao wa ugaidi hapo Gaza na Middle East kwa ujumla.
Wewe unaongelea mihemuko ila ehud barak waziri mkuu mstaafu wa israel na wengine wengi wanaona netanyahu anaitia doa israel na kuishushia heshima yake kimataifa hadi leo hakuna alicho achieve kwa zaidi ya miezi sita , kashindwa hata kuokoa mateka wake huo ni udhaifu mkubwa sana
Na kafanya maisha ya jews kuwa hatarini duniani kote
Mkuu wake wa usalama keshaona ni upuuzi kaamua kujitoa kwenye ujinga
Marekani hadi kaamua kuwawekea vikwazo baadhi ya maafisa wa israel thats total failure on netanyahu
 
Hata Netanyahu akiondoka bado vita dhidi ya ugaidi iko pale pale.
Hamna kurudi nyuma
 
Kweli kujua kusoma sio kaz.Shida Hamas wamejificha kwenye makazi ya kiraia.Maeneo kama hospital na shule.Huwezi piga hapo kaka utaua wasio na hatia.Ndio maana Israel anawachomoa mmoja baada ya mwingine huko Gaza
Kwa taarifa yako hospita karibu zote za Gaza ni kifusi.
 
Anapambana na ugaidi. Kumbuka hamas waliuwa watanzania wenzetu wawili wasokua na hatia.
Wenye uwezo mdogo wa kufikiria mpo wengi sana hapa Duniani

Shambulio lilitengenezwa na Israel na waliokufa pale wote waliuliwa na jeshi la Israel wenyewe ni mpango wa Israel na Marekani wakiwa na malengo mawili

1) kupunguza au kumaliza kabisa alama za chimbuko la uislam nchi Israel

2) walitaka Iran iingie vitani Kwa kuisaidia Gaza na ndio maana Marekani alipeleka manual zake za kijeshi katika ukingo wa Gaza lengo lilikuwa kupambana na Iran

Iran akashtukia mchozo akakaa kimya akiwangalia tu jinsi wanavuoua watoto , wagonjwa na wanafunzi

Sasa nyinyi wenzangu na Mimi msiojua Dunia inaendaje ndio hivyo tena mnalishwa matango pori
 
Kupigana na wanamgambo wanaojificha maeneo ya raia kama hospitali , shuleni, na katikati ya miji yenye raia wengi ni ngumu ina hitaji akili kubwa hata hivyo israel imejitahidi sana ingepiga capeti bomu hiyo gaza yote ingeisha vita vingeisha muda mfupi
Kama hujui unachokiongea ni bora kukaa kimya. Unasema Hamas wanajificha hospitalini na Shule. Mbona West Bank hakuna hamas na bado wapelistina wanauliwa. Kwani ni mara ya kwanza vita kupiganwa maeneo ya watu, wewe huoni tofauti yake. Kunyima chakula kuingia Gaza ili watu wafe kwa njaa ni wanaathibu hamas au raia. Hakuna ushahidi independent ulionyesha hamas wanajificha hospitalini. Kinachoendelea Palestine ni genocide,l. Kwa sababu ni waarabu na wewe ni mtu mweusi unashangilia. Ingekuwa ni Africa ungekuwa unapost "pray for ___" kunatafauti gani kinachotokea Palestine na kilichotokea Africa kusini. Badala kushangilia hamas kuangamizwa kwanini usijiulize kwanini hamas walivafanya mashambulizi at the first place. MK wa ANC walivyokuwa wanalipua maeneo ya raia mliwaita freedom fighters mtazamo wenu unabadilika kisa ya rangi na itakadi. Hakuna vita Gaza zaidi ethnic cleansing. Hakuna bindanu yeyote anastahili kupitia wanachopitia watu wa Gaza ni ubaguzi na uvunjaji wa haki za binadamu. Najua utajibu kwanini Gaza walivamia Isreal October 7, as if ubaguzi ulianza Oct 7. Wapelistina wamekuwa wakishi kwa uonevu kwa vizazi na vizazi. Filikiria ingekuwa ni wewe au ndugu zako wanapitia wanchopitia wapalestina. Unijiona uko tafauti na wapelistina kwenye macho waisraeli wewe ni just a subject like any other non Isreali
 
Kupigana na wanamgambo wanaojificha maeneo ya raia kama hospitali , shuleni, na katikati ya miji yenye raia wengi ni ngumu ina hitaji akili kubwa hata hivyo israel imejitahidi sana ingepiga capeti bomu hiyo gaza yote ingeisha vita vingeisha muda mfupi
napata picha Hamas ingekua jeshi kamili la kumiliki vifaru,drones na ndege za kivita Israel angepigika mpaka akasinyaa.
Hamas wana nini zaidi kujificha nyuma ya raia wa gaza na kuwageuza ngao ili kutafuta huruma ya dunia wanawake na watoto wanauawa?
 
Back
Top Bottom