Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Imeandikwa, Myahudi hawezi malizwa na mtu yeyote yule ila ipo siku ambayo ni kweli watachapika vibaya na nyakati hizo ndo Masihi atakuja kuwaokoaWapalestina wote ni HAMAS labda awamalize wote na si rahisi.Anachoogopa siku wakija kupata silaha ndo itakuwa mwisho wa mayahudi.Anawaza iwaje hawana silaha na wako ngangari ?? Je wakizipata ? itabidi mayahudi wakimbilie baharini kama wale panya wa mpiga filimbi wa Hamelini