Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

Huyu ni jew halisi aliyenusurika kwenye mikono ya hitler anachukia zionism , issue sio waisrael issue ni hawa wazungu watawala wezi ila wanatumia jina la waisrael vibaya kufanya uhalifu mashariki ya kati
Hawa ni wasaliti
 
Huyu ni jew halisi aliyenusurika kwenye mikono ya hitler anachukia zionism , issue sio waisrael issue ni hawa wazungu watawala wezi ila wanatumia jina la waisrael vibaya kufanya uhalifu mashariki ya kati

Akikuelewa wakiwamo MK254, denoo JG, Yoda, Moisemusajiografii na wafia dini wenzao, mrejesho wako tafadhali; tuko pale 👉 ..! Tunaangalia kinavyoendelea kunuka Marekani, nyumbani Israel na Gaza:







 
Wewe acha ujuha, vita anayopigana Israel huko Gaza ( Urban Warfare) hamna Taifa lolote Duniani anaiweza. Na ratio ya civilian deaths to soldiers ni ndogo mno.
Ona sasa kabla hawajaingia Rafah, Israel wanawajengea kwanza Mahema Raia na kuwahamishia huko ili wasidhurike. Aisha, vita hiyo itakuwa door to door. Usilinganishe na ujinga wenu. Waisrael ni very professional and considerate. Kule ndami ya Taifa la Israel Kuna wapalestina zaidi ya milioni 2 ikiwa ni pamoja na ndugu wa akina Ismail Haniyeh. Jiulize hizo nchi za kiarabu na Palestine Kuna wayahudi wangapi? Zero. Hata Wakiristo mmewaua kiasi kwamba idadi yao inazidi kupungua
 
Anakuletea vijinukuu uchwara sasa hivi.Ngoja uone.
 
Na wewe ndio huna hata unachojua , ina maana hujui kama kuna jews wengi kwenye nchi za kiarabu ?

The 2019 Israeli census counts 472,800 Jews born in Morocco or with a Moroccan-born father, although according to the World Federation of Moroccan Jewry, nearly one million Israeli Jews are Moroccan or of Moroccan descent, making them the second-largest community in the country.
Turkey na iran pia kuna around jews 30,000
 
Huko kichwani kumejaa Quaran tu ya kukariri.
Ona takwimu hapa chini
 
Unatakaje ustazi brazaj??
Watupe kabomu kazito na kuigeuza Palestine kifusi??
Huna hata HURUMA anachokifanya Yahudi?!
 
Unatakaje ustazi brazaj??
Watupe kabomu kazito na kuigeuza Palestine kifusi??
Huna hata HURUMA anachokifanya Yahudi?!

1. Miye siyo ustazi ndugu mfia dini.

2. Zingatia hayupo dini mfia dini au mdini mwenye kujitenga au kuikana dini yake; Kwa mfia uislam, uislamu kwake ni wa kujivunia hadharani!

3. Zingatia pia hayupo mkristo au mfia ukristo au la mwenye kuukana na ukristo wake; kwa mfia ukristo, ukristo ni wa kujivunia tena hadharani!
4. Ninakusoma wewe kuwa bila shaka ni chawa:
Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

5. Uchawa mjini ni laana, mtaolewa bila kujali jinsia! zenu
 
Huko kichwani kumejaa Quaran tu ya kukariri.
Ona takwimu hapa chini
View attachment 2975384
Hiyo research yako tayari ipo bias imeshatoa conclusion ya hisia nani katoa hiyo report? Nani alishawahi kuua jews nchi yoyote hapa duniani zaidi ya hitler? Jews wengi wamekimbilia ulaya , marekani, na israel hilo nalo ni gumu kufahamu hadi ufundishwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…