PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Taarifa haijitoshelezi toa taarifa na chombo aminika.zaidi ya ndege 30 za kivita za Israel zimezingira muda huu ndani ya Yemen huku zikipiga bandari , uwanja wa ndege na vituo vyote vya mawasiliano.
Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia nchini Yemeni kuhama kwenye maeneo yote yaliyo chini ya wapiganaji wa houthi.View attachment 3325460
Labda kaitoa kwenye grupu lake Signal👀Taarifa haijitoshelezi toa taarifa na chombo aminika.
Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.Myahudi ndo anawaweza hao waarabu hanaga huruma nao kbs na ndo dawa yao.
Nenda katizame Al Jazeera au BBC news unaweza para kituTaarifa haijitoshelezi toa taarifa na chombo aminika.
Kwani wao walipigaje Israel?Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
Dah, upo dunia gani mkuu?Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
Kuna utofauti kati ya kurusha kombora na fighter jet.Kwani wao walipigaje Israel?
Uwanja wa ndege wa HODEIDAH umefunga rasmi na umeharibiwa wote pamoja na kiwanda cha cement cha BAJIL kimelipuliwa chote..Myahudi ndo anawaweza hao waarabu hanaga huruma nao kbs na ndo dawa yao.
Nitaenda sasa hivi.Nenda katizame Al Jazeera au BBC news unaweza para kitu
Amejisahau Tu. Kwasasa Hakuna Umbali Upande Wa TechnologyDah, upo dunia gani mkuu?
Mwana kulitafuta! Let them ripe what they sow.Uwanja wa ndege wa HODEIDAH umefunga rasmi na umeharibiwa wote pamoja na kiwanda cha cement cha BAJIL kimelipuliwa chote..
Madhara ya safari hii yatakuwa makubwa Sana
Akili ndogo!Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
Wamebebe kwenye madumu.Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
Wanao zitengeneza wanajua kuzitumiaKuna utofauti kati ya kurusha kombora na fighter jet.