Kwa Iran shambulio lilikua failure na ndege zilishambulia zikiwa katika mpaka wa Iraq hazikuingia Iran.Mkuu, kwa suveillance, precision na magnitude ya shambulio kwa adui kama Houths , kutumia ndege ni bora kuliko drone peke yake . Iran aliwashwa bila majibu kwa kutumia ndge hizo hizo tena marubani wakiwa ni mabinti tuu.
Na marubani wakike walikua watatu tu.
Vyombo vya habari vyote vilitangaza ikiwemo BBC kuwa no significant damage have being seen.
Usitulishe matango pori.
Bavaar na Khordak Air defense system ziliweza kudhibiti shambulizi kwa 95%.
Israel hana ndege ya kuiingiza Iran.