Zaidi ya ndege 30 za Israel zimeanza kunyesha mabomu ndani ya Yemen

Zaidi ya ndege 30 za Israel zimeanza kunyesha mabomu ndani ya Yemen

Ni wiki sita toka march 15.
17 April ndio alifanya Mashambulizi 14 hayo unayosema ni mabaya zaidi.
Juzi kaka juzi May tarehe mbili ama tatu USA alifanya mashambulizi achana na hayo ya April.
 
Jumatatu kaka ilikua tarehe ngapi?
Screenshot_20250505-221241~2.png
 
zaidi ya ndege 30 za kivita za Israel zimezingira muda huu ndani ya Yemen huku zikipiga bandari , uwanja wa ndege na vituo vyote vya mawasiliano.

Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia nchini Yemeni kuhama kwenye maeneo yote yaliyo chini ya wapiganaji wa houthi.View attachment 3325460
Si useme israel na marekani, israel hakuna vita anaweza pigana peke yake
 
Sishabikii udharim wa Israel .. Ila daima huwa napendekeza asichokozwe ......

Haya wale mlikua mnausema kiama chake kimefika ... Ni zam Sasa ya kuanza kuwaonea huruma watu wa YEMEN. Hasa akina mama na watoto.
 
Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?

Ndugu yangu .. Kuna ndege ya tz hapa inaweza kutembea ikibingilika Kama mshale kutoka mbeya Hadi dar GO AND RETURN .. (1000+ km X 2 = 2000KM +) ...

During maonyesho flan Ya uhuru ilielezwa kuwa rubani wake ni mwana mama (rubani wa kwanza wa kike wa ndege za kivita za JWTZ)
Sasa unahoji ndege ya myahudi

. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Yaani. Ntacheka Hadi kesho.

Anyway labda walitupiga Kamba ...
 
Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
,Kijana jaribu kutafuta na elimu dunia, Mfano, Ndege ya kivita ya F-16I “Sufa hii ina uwezo wa kujazwa mafuta angani (aerial refueling), jambo linaloongeza sana uwezo wake wa kutekeleza operesheni za mbali.

Kasi ya juu: (~2,120 km/h)
 
Ungenyoosha tu maelezo masuala ya elimu Dunia achana nayo.
Nilichokua nakilenga mimi ni USA kuisaidia Israel.
Hakuna asiyejua kuwa kuna ndege za refuelling.
 
Back
Top Bottom