Hilo silijui ila haya mashambulizi hayawezi kuwazuia Houthi bro.Kwa hiyo sifa ni kubaki na uwezo wa kurusha makombora?
Hawaangalii casualties?
Kitendo Cha Houthi kurusha kombora ndani ya Israel hata kama halijaua linahatarisha mambo mengi sana ndani ya Israel kisiasa na kiuchumi.
Yemeni ni nchi inayochechemea wala haijali kitu.