Zaidi ya ndege 30 za Israel zimeanza kunyesha mabomu ndani ya Yemen

Ndugu yangu .. Kuna ndege ya tz hapa inaweza kutembea ikibingilika Kama mshale kutoka mbeya Hadi dar GO AND RETURN .. (1000+ km X 2 = 2000KM +) ...

During maonyesho flan Ya uhuru ilielezwa kuwa rubani wake ni mwana mama (rubani wa kwanza wa kike wa ndege za kivita za JWTZ)
Sasa unahoji ndege ya myahudi

. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Yaani. Ntacheka Hadi kesho.

Anyway labda walitupiga Kamba ...
Aya sawa .
 
Ungenyoosha tu maelezo masuala ya elimu Dunia achana nayo.
Nilichokua nakilenga mimi ni USA kuisaidia Israel.
Hakuna asiyejua kuwa kuna ndege za refuelling.
Kwani Iran ana kitu gani zaidi ya kusaidiwa na Russia na china, fuatilia basi japo kidogo Elimu dunia ili uelimike.
 
Na CCM wasome alama za nyakati.Ipo siku Nchi itanuka kama inavyonuka huko Yemeni au gaza
 
Lengo halikuwa kuwanyang'anya uwezo wa kurusha makombora. Lengo ni kulipiza kwa kile walichokifanya na kujisifia kuwa watafunga anga la Israel, yule msemaji wao sijui alilewa mirungi.
Huoni jamaa kiuchumi wanazidi kuumia mtu anarusha kombora la laki 2 ww unajaza ndege mafuta na maruban pamoja na refuel na missle za 30 za dollar 6m unaenda unaoiga target zile zile za usa nani anaumi na huko ben guriol masharik mengi yamekancel hizo ruti nani anaumia kwa shambuliz la ndege 30 israel na usa wanatumia zaidia ya dollar 150m kwa maasaa tu
 
Ungenyoosha tu maelezo masuala ya elimu Dunia achana nayo.
Nilichokua nakilenga mimi ni USA kuisaidia Israel.
Hakuna asiyejua kuwa kuna ndege za refuelling.
Hiyo ndo point ya maana naona jamaa wanaruka ruka tu walijua ww kwa ufaham wako haufaham hilo
 
Nilijua TU,Mr.Neta Huwa hacheki na nyani akisema nitalipiza ujue kesha Fanya yake,ndani ya masaa 48 MTU Kesha pigwa.
 
Waunga Mkono Israel !!

Mumesaau adui yenu sio Yemen ni IRAN !!

nimesoma mada zenu zote ndio mana nimekuja na andiko ili !!!

lazima mfaamu tatizo kuu sio YEMEN Kama mlimsikia Netanyahu baada ya kipigo cha Air Port moja kwa moja yeye alidai ni Iran sio Yemen !!!

kwaiyo Israel kupiga Yemen nikutapatapa tu Ukweli wanaujua lkn wameamua kuuzunguka M'buyu !!!!

swali kwann Wanaiyogopa Iran !!!!

kwann wasiende na izo ndege zao 30 kupiga Iran?

Lkn pia tim Israel mmejikita kudai kuwa Israel inaweza kujaza mafuta ndege zikiwa Angani !!!!

mkidai kuna Boeing Mpya yakujazia Mafuta ni sawa lkn kwann atugundui kuwa kwasasa Marekani na Israel wapo nyuma kitechnologia !!!!

Sababu mfumo wanaotumia ni Wakizamani Upeleke Boeing angani na Ukubwa wake ili uweze fanya shambulio !!!

wkt wenzao Kina YEMEN + BABA lao IRAN umbali uwo uwo yeye anabonyeza kitufe tu uku anakunywa kaawa !!!!

nyinyi uko Km 2000+ mnatafutana kwenye Mashimo + kupiga makelele ya kukataa kuachia rohooo kizembe zembe !!!!!!

ktk uwelekeo huu moja kwa moja kuna Ishallah ya Mazayuni kutepeta sio muda mlefu.. !!!!

mfano Muirani ukamshambulie kutegemea Boeing ijaze mafuta Angani haaaaaaa sio kweli!!!!!

Marekani na Israel kwasasa wachutame yaishe wafatane na kuzikumbatia Sheria za UN japo nawao Israel walale usingizi wa pono!!!!

Lkn Vita washashindwa !!!

Siku Baada ya siku ni mbaya sana kwa Marekani mfano ile THAAD nani atanunua tena kwasasa !!!

ndio na Ndege zake zinaenda kupoteza Soko Sio muda mrefu !!!

asa wakizipeleka IRAN au apo apo Yemen!!!!!

UCHUMI CHALIIIII NA MAVITA VITA PIA CHAALIII

ndio mana wanasita kwenda iran wanajua Muiran atakwenda kuwavua nguo zao zote!!!!
 
Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
Mkuu, tumia akili. Ethiopia ambayo ipo karibu na Yemen., ina military base yao kubwa tuu,
 
Waunga kono Israel !!

Mkuu, kwa suveillance, precision na magnitude ya shambulio kwa adui kama Houths , kutumia ndege ni bora kuliko drone peke yake . Iran aliwashwa bila majibu kwa kutumia ndge hizo hizo tena marubani wakiwa ni mabinti tuu.
 
Kutoka Israel hadi Yemeni zaidi ya 2000 kilometres.
Mtuambie hizo ndege zina matank mawili mawili ya mafuta ama!?
Kuna Tanker zinakunywa mafuta zikiwa njiani!! Na Israel hawaja za leo kuzipiga Yemen na mara zote anatumia ndege tu
 
Mkuu, kwa suveillance, precision na magnitude ya shambulio kwa adui kama Houths , kutumia ndege ni bora kuliko drone peke yake . Iran aliwashwa bila majibu kwa kutumia ndge hizo hizo tena marubani wakiwa ni mabinti tuu.
Tuanzie na Iran kupigwa na Wadada w IDF !!!

weka Ushaid apa watu waone ukweli wako !!!

mm pia nasema IRAN iliibutua Israel ukitaka naww Ushaid mm nitaweka apa!!

! Aya kazi kwako kuzibitisha madai yako????
 
Mkuu, kwa suveillance, precision na magnitude ya shambulio kwa adui kama Houths , kutumia ndege ni bora kuliko drone peke yake . Iran aliwashwa bila majibu kwa kutumia ndge hizo hizo tena marubani wakiwa ni mabinti tuu.
Naskia ndege hizi hazkuingia Iran zilkua Iraq sjui Syria uko ndo zkafyatua makombora, naomba kujua Kuna ukweli wowote hapa
 
Mkuu, tumia akili. Ethiopia ambayo ipo karibu na Yemen., ina military base yao kubwa tuu,
Nilikua ninalenga kitu kaka kwa kuuliza hilo swali.
Nilipolenga mimi ni usaidizi wa kambi za pembeni sio direct attack from Tel Aviv.
 
Back
Top Bottom