Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

Not related, ila jina lako limenikumbusha mpenzi wangu wa zamani ningali kijana akiitwa Hasegawa san. Alikuwa mrembo sana na alikuwa anapenda sana kujamiiana ila nilimucha Tokyo mwaka 1994 wala sijui aliendeleaje na maisha yake. Siku moja tulilala kwenye hoteli fulani kule Yokohama (karibu na Minato Mirai), ikawa hatukulala kabisa mpaka asubuhi!
Uko sawa
 
Ina maana huwa CCM inawapa hela ya kuja kusifu tu na sio ya kurudi?
Hakuna fedha wakizopewa Za kuja Dar au kurudi
Ni fedhea na aibu tu s as Mia kutokujali Hawa wanawake wezake na wakurudishie makwao kitakuwa kilio na Sidhani kama watakuwa na hamu na Samia 2025
 
Muda huu Tumewasiliana
kwa njia ya WhatsApp na Mwenyekiti wa UWT TAIFA simu yake imezimwa.
Kwa sababu UWT ni Jumuia ndani ya CCM, tafadhali mwenye namba ya Comred Chigolo atupatie Ili tumjulishe hali ilivyo Angalau wamama hao wapata msaada wa haraka.
 
Njoo kwenye hoja.
Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia.

Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa fedha za mifukoni mwao wakitarajia kuwa watakuja kurejesha fedha walizotumia kusafiria.

1. Kituko kimeanza baada ya wao kukosa pa kulala wakitarajia kuwa wangekuwa wameandaliwa Maeneo au hotel za kulala. Kilichotokea hawajarejeshewa fedha za nauli za kuja Dar.

2. Hawajui watapata wapi nauli za kurudi makao mikoani.
3. Hawana mahali pa kulala.
4. Hawana uwezo wa kununua vyakula mahotelini.
5. Wengi wameamua kuondoka Kesho Jioni kurudi mikoani baada ya kutoka uwanja wa Taifa saa nane Mchana kwa Wale wachache wenye uwezo.
6. Kesho jumapili Mchana haijulikani watakuwa wapi.
7. Kuhudhuria kongamano hilo masharti ni lazima ununue kitenge 20,000 na kukishona kwa Gharama zako mwenyewe na wote wana sare ya kitenge cha Rais.

8. Wanawake wengine wamekuja na Watoto wadogo ambao wananyonyesha.
9. Wabunge wa ccm wanakotokea Viongozi wa UWT wamegoma Hata kuwachangiachakula, makazi na Usafiri Kwa mantiki kwamba maza anajipongeza mwenyewe na amealika na Bawacha.
10. Zaidi ya Wanawake 110 waliotokea Tarime mkoa wa Mara nauli ni 70,000 kila mmoja kwenda Dar tu, Bado kulala 50,000 na chakula Bado kurudi na walidanganywa na CCM kuwa watalipiwa Kila kitu imekuwa kinyume chake.

Wenyeviti wa UWT mikoa yote mungu anawaona. Mama Samia wamama wenzako wako Dar kukufuata kukupongeza ila wamelala uwanja wa Taifa na hawajala na hawajui Kesho watakuwa wapi na watasafi vipi kurudi makwao.

HABARI HIZI UNAZO?KAMA UNAZO OKA WAKINAMAMA HAWA KUEPUSHA LAANA YA WATU WASIO NA HATIA
Wakome kujipendekeza bila mkataba.
 
Mkuu, nikuulize swali, huenda utakuwa na jibu.

Lema anazo taarifa za hao akina mama. Kama hana, basi wape taarifa kwamba yupo mwamba mwenye ukwasi wa kutosha kuwahudumia kila kitu.

Lakini nisitoke hapa kabla sijaweka jambo jingine:

Kama ni kweli hao akina mama wapo hapo, na kwa sababu hiyo uliyoelezea wewe, basi hawa ni wajasiria mali wa aina yake, na ndiyo sababu niliposoma tu habari yao nikamkumbuka 'innovator' wetu mkuu siku hizi ndani ya nchi yetu!

EeenHeeee! pia inabidi kwa kweli nicheke jinsi nchi yetu hii imekuwa nchi ya vioja.

Hivi hakuna hata kipicha kimoja kinachowaonyesha hao akina mama, inawezekana mama kalamu na yeye akawepo hapo kwenye kundi hilo.

Ni juzi tu, tulikuwa na siku ya akina mama, ilikuwaje hawa wakakosea siku muhimu ya kufika kumwona mama mwenzao?
 
Hongera kwao
Nitashangaa kweli mwenyeji wao akikaushia tu!
Najua watahudumiwa hawa.

Ila kwa kweli nadhani hawa watakuwa wameweka rekodi ya kipekee, ambayo haijawahi kuonekana tokea nchi imepata uhuru.

Kila kukicha naona kuna mambo mapya siku hizi.
 
Not related, ila jina lako limenikumbusha mpenzi wangu wa zamani ningali kijana akiitwa Hasegawa san. Alikuwa mrembo sana na alikuwa anapenda sana kujamiiana ila nilimucha Tokyo mwaka 1994 wala sijui aliendeleaje na maisha yake. Siku moja tulilala kwenye hoteli fulani kule Yokohama (karibu na Minato Mirai), ikawa hatukulala kabisa mpaka asubuhi!
Kumbeee!
Nilikutana na kijana mmoja akiitwa 'Kichuguu Jr' maeneo ya huko huko ulikokueleza wewe. Kijana mtanashati kwelikweli, akawa ananieleza habari za Tanzania alizosimuliwa na mzazi wake, lakini kwa bahati mbaya sana alikuwa hajawahi kufika Tanzania yeye mwenyewe. Akilalamika kwamba alitelekezwa!
 
Nipe contact zake au mwambie anitafute. Nilikuwa na warembo kadhaa pale Tokyo kwa hiyo huyo anaweza kuwa wa Hasegawa lakini vile vile anaweza kuwa ametoka kwa Makiko Muroya, au kwa Keiko, au kwa Hiroyo Kuramochi; wote walikuwa walikuwa wanawake warembo sana, Nipe contact yake! Mwingine alikuwa anatoka Fukuoka kunifuata Tokyo kupata mgao wake.
 
Nipe contact zake au mwambie anitafute. Nilikuwa na warembo kadhaa pale Tokyo kwa hiyo huyo anaweza kuwa wa Hasegawa lakini vile vile anaweza kuwa ametoka kwa Makiko Muroya, au kwa Keiko, au kwa Hiroyo Kuramochi; wote walikuwa walikuwa wanawake warembo sana, Nipe contact yake! Mwingine alikuwa anatoka Fukuoka kunifuata Tokyo.
Uko sawa
 
Nilichogundua ukiwa ccm hutakiwi kusema ukweli.

Ccm mnamdangaya mama samia 100% kwa sababu unaweza je kuhamasisha wanawake nchi nzima kwenda Uwanja wa Taifa Dar bila kujali kuhakikisha wanawake wote wamepewa nauli ya kwenda na kurudi, chakula na malazi?
Kama Sio uhaini.

Wamama wengine wamebeba Watoto, wengine ni wajawazito, wengine ni wagonjwa.

Nina Mshauri Mama Samia Usome bandiko Hili na uwaulize wamama wote wakiwa uwanja wa Taifa kama wamewezeshwa chochote utapata majibu. Sahihi na utabarikiwa.

Hali ni mbaya kuliko na manunguniko ni makubwa mnoooo.

Na kuna dalili viongozi wa ccm mikoa na wilaya walipewa fedha ila wameziweka mifukoni na wanawake wote wanalia na kilio hiki kimfikia mama Samia kwa sababu wanarudi mikoani na image mbaya kuhusu Mama Samia.
 
Back
Top Bottom