Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

Njoo kwenye hoja.
Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia.

Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa fedha za mifukoni mwao wakitarajia kuwa watakuja kurejesha fedha walizotumia kusafiria.

1. Kituko kimeanza baada ya wao kukosa pa kulala wakitarajia kuwa wangekuwa wameandaliwa Maeneo au hotel za kulala. Kilichotokea hawajarejeshewa fedha za nauli za kuja Dar.

2. Hawajui watapata wapi nauli za kurudi makao mikoani.
3. Hawana mahali pa kulala.
4. Hawana uwezo wa kununua vyakula mahotelini.
5. Wengi wameamua kuondoka Kesho Jioni kurudi mikoani baada ya kutoka uwanja wa Taifa saa nane Mchana kwa Wale wachache wenye uwezo.
6. Kesho jumapili Mchana haijulikani watakuwa wapi.
7. Kuhudhuria kongamano hilo masharti ni lazima ununue kitenge 20,000 na kukishona kwa Gharama zako mwenyewe na wote wana sare ya kitenge cha Rais.

8. Wanawake wengine wamekuja na Watoto wadogo ambao wananyonyesha.
9. Wabunge wa ccm wanakotokea Viongozi wa UWT wamegoma Hata kuwachangiachakula, makazi na Usafiri Kwa mantiki kwamba maza anajipongeza mwenyewe na amealika na Bawacha.
10. Zaidi ya Wanawake 110 waliotokea Tarime mkoa wa Mara nauli ni 70,000 kila mmoja kwenda Dar tu, Bado kulala 50,000 na chakula Bado kurudi na walidanganywa na CCM kuwa watalipiwa Kila kitu imekuwa kinyume chake.

Wenyeviti wa UWT mikoa yote mungu anawaona. Mama Samia wamama wenzako wako Dar kukufuata kukupongeza ila wamelala uwanja wa Taifa na hawajala na hawajui Kesho watakuwa wapi na watasafi vipi kurudi makwao.

HABARI HIZI UNAZO?KAMA UNAZO OKA WAKINAMAMA HAWA KUEPUSHA LAANA YA WATU WASIO NA HATIA
Masikini wanateswa sana CCM
 
Tough love..inabidi wakose nauli..haiwezekani uone mambo yote yanaoendelea nchi hii,alafu usogeze kipago kwenda kupongeza ,huu ni upumbavu na uchawa usio na mAana...

They came for photo-ops ,wapeni ndala waanze kutembea kurudi Kwao..Ujinga umezidi nchi hii
Mkuu utambue elimu yao iko chini na uelewa pia.
Trust me wameteseka 100%
Ninavyoandika hapa Tayari wako wameanza kuingia uwanja wa Taifa na Hata breakfast hawajui itapatikana wapi
 
Not related, ila jina lako limenikumbusha mpenzi wangu wa zamani ningali kijana akiitwa Hasegawa san. Alikuwa mrembo sana na alikuwa anapenda sana kujamiiana ila nilimucha Tokyo mwaka 1994 wala sijui aliendeleaje na maisha yake. Siku moja tulilala kwenye hoteli fulani kule Yokohama (karibu na Minato Mirai), ikawa hatukulala kabisa mpaka asubuhi!
Mkulungwa mwenzangu ulifanya kosa kubwa kumuacha mrembo anayependa kujamiiana, maana ni bidhaa adimu hiyo.
 
Mikoa mingine ccm imewapa mikoa mingine ccm haijawapa na hatujui ni kigezo gani kimetumika ila wanawake wote wa chadema wamelipwa Kila mmoja Tsh 350, 000 kwa Wale waliotokea Mara, Kagera na Rukwa
Hii nchi ni ya kipekee dunia nzima. Ina mambo yake na watu wake. Acha wakomee tu hakuna namna kama vipi watembee kurudi.
 
Njoo kwenye hoja.
Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia.

Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa fedha za mifukoni mwao wakitarajia kuwa watakuja kurejesha fedha walizotumia kusafiria.

1. Kituko kimeanza baada ya wao kukosa pa kulala wakitarajia kuwa wangekuwa wameandaliwa Maeneo au hotel za kulala. Kilichotokea hawajarejeshewa fedha za nauli za kuja Dar.

2. Hawajui watapata wapi nauli za kurudi makao mikoani.
3. Hawana mahali pa kulala.
4. Hawana uwezo wa kununua vyakula mahotelini.
5. Wengi wameamua kuondoka Kesho Jioni kurudi mikoani baada ya kutoka uwanja wa Taifa saa nane Mchana kwa Wale wachache wenye uwezo.
6. Kesho jumapili Mchana haijulikani watakuwa wapi.
7. Kuhudhuria kongamano hilo masharti ni lazima ununue kitenge 20,000 na kukishona kwa Gharama zako mwenyewe na wote wana sare ya kitenge cha Rais.

8. Wanawake wengine wamekuja na Watoto wadogo ambao wananyonyesha.
9. Wabunge wa ccm wanakotokea Viongozi wa UWT wamegoma Hata kuwachangiachakula, makazi na Usafiri Kwa mantiki kwamba maza anajipongeza mwenyewe na amealika na Bawacha.
10. Zaidi ya Wanawake 110 waliotokea Tarime mkoa wa Mara nauli ni 70,000 kila mmoja kwenda Dar tu, Bado kulala 50,000 na chakula Bado kurudi na walidanganywa na CCM kuwa watalipiwa Kila kitu imekuwa kinyume chake.

Wenyeviti wa UWT mikoa yote mungu anawaona. Mama Samia wamama wenzako wako Dar kukufuata kukupongeza ila wamelala uwanja wa Taifa na hawajala na hawajui Kesho watakuwa wapi na watasafi vipi kurudi makwao.

HABARI HIZI UNAZO?KAMA UNAZO OKA WAKINAMAMA HAWA KUEPUSHA LAANA YA WATU WASIO NA HATIA
Wanipe lipa namba niwarushie nauli
 
Mkulungwa mwenzangu ulifanya kosa kubwa kumuacha mrembo anayependa kujamiiana, maana ni bidhaa adimu hiyo.
Ni kweli; ninajutia sana siku hizi. Ila wanawake wa kijapani wote niliowahi kuserebuka nao enzi hizo walikuwa wanapenda sana chini; kwa hiyo singeweza kubeba container lote la wanawake na kulileta Tanzania wakati nilikuwa na container la magari na electronics wakati huo..
 
Hivi wajapani si inasemekana sio watu wa mambo hayo sana au wewe ulibahatika tu.
 
Not related, ila jina lako limenikumbusha mpenzi wangu wa zamani ningali kijana akiitwa Hasegawa san. Alikuwa mrembo sana na alikuwa anapenda sana kujamiiana ila nilimucha Tokyo mwaka 1994 wala sijui aliendeleaje na maisha yake. Siku moja tulilala kwenye hoteli fulani kule Yokohama (karibu na Minato Mirai), ikawa hatukulala kabisa mpaka asubuhi!
Kweli kazi mliifanya,kama mlilala kwenye hoteli usikukucha lakini hamkulala!!!
Maana yake mlifanya mkesha. Kama ingekua jana tungesema mmeungana na hao waliokesha wakisifu
 
Attachments

  • F2289D97-325D-4A40-AC9A-4BF4DDA38B9E.jpeg
    F2289D97-325D-4A40-AC9A-4BF4DDA38B9E.jpeg
    35.3 KB · Views: 2
Upuuzi Mtupu Huu Inatakiwa Waachwe Wahangaike Tu Unatoka Unakotoka Mpaka Dar Mtu Mzima Unaacha Nyumba Eti Kwenda Kumpongeza Rais
Ujinga Na Wajinga Tanzania Hawaishi Jamani
Hapo Unajiuliza Mwaliko Walipewa Na Nani?
Kwani Lazima Wampongeze Dar
 
Back
Top Bottom