peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
-
- #21
Uko sawaNot related, ila jina lako limenikumbusha mpenzi wangu wa zamani ningali kijana akiitwa Hasegawa san. Alikuwa mrembo sana na alikuwa anapenda sana kujamiiana ila nilimucha Tokyo mwaka 1994 wala sijui aliendeleaje na maisha yake. Siku moja tulilala kwenye hoteli fulani kule Yokohama (karibu na Minato Mirai), ikawa hatukulala kabisa mpaka asubuhi!
CCMKwani Bawacha walilipiwa na nani kule Moshi?
Hakuna fedha wakizopewa Za kuja Dar au kurudiIna maana huwa CCM inawapa hela ya kuja kusifu tu na sio ya kurudi?
Nimekumbuka story ya Wasabato MasaliaKwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa fedha za mifukoni mwao wakitarajia kuwa watakuja kurejesha fedha walizotumia kusafiria.
Umbea wao tu, Kuna ambao wataachika. CCM wanapenda kuwageuza wajinga kuwa fursaKweli kabisa, nija nimeona mabasi kama matano hivi yakiwa na bendeera za ssm
Wakome kujipendekeza bila mkataba.Njoo kwenye hoja.
Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia.
Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa fedha za mifukoni mwao wakitarajia kuwa watakuja kurejesha fedha walizotumia kusafiria.
1. Kituko kimeanza baada ya wao kukosa pa kulala wakitarajia kuwa wangekuwa wameandaliwa Maeneo au hotel za kulala. Kilichotokea hawajarejeshewa fedha za nauli za kuja Dar.
2. Hawajui watapata wapi nauli za kurudi makao mikoani.
3. Hawana mahali pa kulala.
4. Hawana uwezo wa kununua vyakula mahotelini.
5. Wengi wameamua kuondoka Kesho Jioni kurudi mikoani baada ya kutoka uwanja wa Taifa saa nane Mchana kwa Wale wachache wenye uwezo.
6. Kesho jumapili Mchana haijulikani watakuwa wapi.
7. Kuhudhuria kongamano hilo masharti ni lazima ununue kitenge 20,000 na kukishona kwa Gharama zako mwenyewe na wote wana sare ya kitenge cha Rais.
8. Wanawake wengine wamekuja na Watoto wadogo ambao wananyonyesha.
9. Wabunge wa ccm wanakotokea Viongozi wa UWT wamegoma Hata kuwachangiachakula, makazi na Usafiri Kwa mantiki kwamba maza anajipongeza mwenyewe na amealika na Bawacha.
10. Zaidi ya Wanawake 110 waliotokea Tarime mkoa wa Mara nauli ni 70,000 kila mmoja kwenda Dar tu, Bado kulala 50,000 na chakula Bado kurudi na walidanganywa na CCM kuwa watalipiwa Kila kitu imekuwa kinyume chake.
Wenyeviti wa UWT mikoa yote mungu anawaona. Mama Samia wamama wenzako wako Dar kukufuata kukupongeza ila wamelala uwanja wa Taifa na hawajala na hawajui Kesho watakuwa wapi na watasafi vipi kurudi makwao.
HABARI HIZI UNAZO?KAMA UNAZO OKA WAKINAMAMA HAWA KUEPUSHA LAANA YA WATU WASIO NA HATIA
Mkuu, nikuulize swali, huenda utakuwa na jibu.Njoo kwenye hoja.

Nitashangaa kweli mwenyeji wao akikaushia tu!Hongera kwao
Kumbeee!Not related, ila jina lako limenikumbusha mpenzi wangu wa zamani ningali kijana akiitwa Hasegawa san. Alikuwa mrembo sana na alikuwa anapenda sana kujamiiana ila nilimucha Tokyo mwaka 1994 wala sijui aliendeleaje na maisha yake. Siku moja tulilala kwenye hoteli fulani kule Yokohama (karibu na Minato Mirai), ikawa hatukulala kabisa mpaka asubuhi!
Labda ni lile jua la Mfalme ZumarudiNasikia daslamu jua ni kali linawaka hadi usiku....mchuma janga hula na wa kwao [emoji205]
Nipe contact zake au mwambie anitafute. Nilikuwa na warembo kadhaa pale Tokyo kwa hiyo huyo anaweza kuwa wa Hasegawa lakini vile vile anaweza kuwa ametoka kwa Makiko Muroya, au kwa Keiko, au kwa Hiroyo Kuramochi; wote walikuwa walikuwa wanawake warembo sana, Nipe contact yake! Mwingine alikuwa anatoka Fukuoka kunifuata Tokyo kupata mgao wake.Kumbeee!
Nilikutana na kijana mmoja akiitwa 'Kichuguu Jr' maeneo ya huko huko ulikokueleza wewe. Kijana mtanashati kwelikweli, akawa ananieleza habari za Tanzania alizosimuliwa na mzazi wake, lakini kwa bahati mbaya sana alikuwa hajawahi kufika Tanzania yeye mwenyewe. Akilalamika kwamba alitelekezwa!
Uko sawaNipe contact zake au mwambie anitafute. Nilikuwa na warembo kadhaa pale Tokyo kwa hiyo huyo anaweza kuwa wa Hasegawa lakini vile vile anaweza kuwa ametoka kwa Makiko Muroya, au kwa Keiko, au kwa Hiroyo Kuramochi; wote walikuwa walikuwa wanawake warembo sana, Nipe contact yake! Mwingine alikuwa anatoka Fukuoka kunifuata Tokyo.