Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

Upuuzi Mtupu Huu Inatakiwa Waachwe Wahangaike Tu Unatoka Unakotoka Mpaka Dar Mtu Mzima Unaacha Nyumba Eti Kwenda Kumpongeza Rais
Ujinga Na Wajinga Tanzania Hawaishi Jamani
Hapo Unajiuliza Mwaliko Walipewa Na Nani?
Kwani Lazima Wampongeze Dar
Halafu eti wengine wanawatoto wanaonyonya. Hahahaa kweli Tanzania ni royal tour atakae aje aone mambo
 
Hivi wajapani si inasemekana sio watu wa mambo hayo sana au wewe ulibahatika tu.
Siyo kweli; labda siku hizi. Enzi hizo wanawake wa kijapani walikuwa kama free samples, at least kwangu, kwa sababu niliwapangua sana kutokana na ujana niliokuwa nao enzi hizo.
 
Pole yao lakini sio vizuri kuondoka kwako bila kujipanga hasa kwa Wamama wanaonyonyesha na wenye ujauzito , naimani Serikali iitawatazama na kuwapa Elimu ya Kujitambua
 
Upuuzi Mtupu Huu Inatakiwa Waachwe Wahangaike Tu Unatoka Unakotoka Mpaka Dar Mtu Mzima Unaacha Nyumba Eti Kwenda Kumpongeza Rais
Ujinga Na Wajinga Tanzania Hawaishi Jamani
Hapo Unajiuliza Mwaliko Walipewa Na Nani?
Kwani Lazima Wampongeze Dar
Tatizo la watanzania Sio umaskini bali ni CCM
 
Tatizo la watanzania Sio umaskini bali ni CCM
Na Ccm Inajua Hilo Imeamua Kukamatia Hapo Hapo
Jiulize Ccm Ikianguka Toka Madarakani Huo Utitiri Wa Wategemezi (Mchwa) Utakula, Nini Wakati Vyeo Havipo Na Vitega Uchumi Vitarudishwa Serikalini



Mwafaa, Twafaa
 

Huu ujinga wa siasa za sifa za kijinga uliasisiwa na kuimarishwa kipindi cha awamu ya tano. Awamu hiyo ilipenda sifa za kijinga hadi sasa imekuwa ndio fashion.
 
Mateso waliyoyapata tangu Jana hadi tutakaporudi makwetu dawa pekee ni kuiondoa CCM madarakani
 
wagombea urais ndani ya chama wawasitiri wanachama wenzao
 
Siyo kweli; labda siku hizi. Enzi hizo wanawake wa kijapani walikuwa kama free samples, at least kwangu, kwa sababu niliwangua sana kutokana na ujana niliokuwa nao enzi hizo.
Hahahah kwahio uliwatafuna sana eeh maana naskia Japan watu wako busy sana hadi wanasahau kupigana miti. 🤣🤣🤣
 
Wamelala vipi Uwanja wa Taifa? Pale jana si ilikuwepo mechi ya Mnyama?
Wanawake 1500 wamefika kutoka mikoani? Oh yes,now I remember. Leo ni simu ya kuadhimisha mwaka wa pili wa ubabaishaji wa huyu mama. ( Najua Faiza Foxy anajitayarisha kunipiga kijembe).
Sasa,wakimbizi lukuki kutoka Ukraine Syria,Afghanistan)wanapata hifadhi katika nchi nyingine.Kwa nini hapa Dar watu wateseke?
Freemasons huwa wanasema tuondoe ubaguzi wa ukabila,udini,ufamilia,utabaka,ujinsia,halafu( most important for Freemasons) tuondoe kuta kati ya nchi na nchi.
 
Karibuni muone tunavyoteseka wanawake uwanja wa Taifa Dar.
Kweli kama Samia ni mcha mola basi asikilize kilio chetu hapa uwanja wa Taifa.
Tumeambiwa tuwahi kuingia asubuhi hii ili kupisha timu ya yanga kucheza mpira lei bafo tunafukuzwa uwanjani mchana bila hata kupewa chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…