Zaka au sadaka ni hiari, kuwapigia simu waumini kuwakumbusha ni kuwalazimisha

Ahsante!
 
Kuomba sio kupewa zipo fact kwann usipewe. Mungu uangalia moyo.
Ukipewa
1.utaacha ibada
2.utakufa kwa ajali, ukimwi, utaenda jela
3.Utajawa kiburi
4.Utasambaratisha watu.
Hakika. Kongole kwa wateule wachache waliopewa
 
Kuchangia kwa hiyari hakuna tatizo lolote. Sasa waseme ukweli waache kutisha tisha watu
 
Hujui lolote kuhusu ukatoliki, wao ndo wana siri zote za kiroho za kanisa...nyie wengine ni mbavu za kanisa katoliki na mnafahamu machache mno kuhusu ukristo.
Huu huenda ukawa ukweli. Siri hizo zina umuhimu au impact gani sasa?
 
"Utoaji ni kwa ajili ya watu wajuao utajiri ni nini na siri zake nini za kuupata sio kwa ajili.ya malofa wasiotarajia kuwa matajiri kwenye maisha yao"

[emoji115][emoji115]
Ndugu Yehodaya nimekuelewa hapa
 
Sawa ahsante kwa kunitukana ilhali hunijui na hutonijua
 
Nimeuliza ili nijue. Zingatia neno 'kuuliza'
 
Mkuu wewe una ghorofa hata moja kweli?
 
Ni kweli
 
Kunaa watu wana miaka na miaka wanamuomba Mungu wawe matajiri ila Mungu anasema NO.

Wakipata sana basi ni laki laki za kula tu ili wasife.

🥱[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu inahuzunisha ila ndiyo ukweli huu. Tuupokee tu[emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…