Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

Tofauti ya Mwili, nafsi na roho ni ipi?......tuambie tofauti zao na kazi ya kila kimoja na umuhimu wake (kama ukipata nafasi).
Neno roho ni kubwa sana ndiyo kila kitu hata mungu mwenyewe na uweza wake wote ilo neno linamfunika ndiyo maana alisema kuwa hata yeye ni roho ...pasipo roho (spirit) hakuna mungu nafsi ndiyo ufahamu na mwili ni mwili tu ila nafsi na mwili vyote ni roho tu kwa kuwa ufalme wote wa mungu ni ufalme wa roho ...neno roho kisayansi ni energy
 
h8vyo roho mtakatifu ni mungu kwa kuwa ni nafsi ileile ya mungu
Kumbe unakubali hili ?


3)Roho mtakatifu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu (nafsi 2)
2)Yesu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu
Mbona unatuchanganya hapa ?...

Umesema Yesu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa binadamu na Roho ya mtakatifu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa binadamu .

Kwa maelezo yako hapo juu ina maana Yesu na Roho mtakatifu zote ni nafasi za Mungu Ila 'ndani ya mwili wa binadamu'

Yaani ulimaanisha

Yesu ndani ya mwili wa binadamu =Roho mtakatifu ndani ya mwili wa binadamu



Halafua ukasema tena.




2)Yesu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu (nafsi 2)
Embu fafanua hizo 'bold' hapo juu.?
 
Kumbuka mungu alisema hata yeye ni roho maana yake hataxnafsi yake ni roho tena alisema ufalme wake ni ufalme wa roho
Unaamini hata Yesu ni mfalme ?..tena mfalme wa huko rohoni
 
Kwa kifupi 10% ni kwa kila ulichopata! Umepewa ng'ombe 100 unapaswa kutoa 10% kwa mara ya kwanza.
Baada ya hapo unaanza kutoa 10% ya Faida.
Sasa ukikutana na Wachungaji waliojaa tamaa ya hela,watakwambia ni 10% ya (Mtaji +Faida) kila mwezi! Ukifilisika wanakutimua Kanisani.
Wakitaka kukubana vizuri wanakupa Fomu ya kujaza! Unatakiwa kujaza vyanzo vyako vya mapato yote, kazi, biashara, zawadi, nk harafu wanakukadiria kiwango cha kutoa kila Mwezi.
Sasa kwa mfanya biashara wanakukadiria (Mtaji + Faida)! Sasa bila kujali kuwa biashara yako inaweza kukwama na usipate Faida, hilo hawaangalii.
Usipotoa unaitwa Mwizi, ukikwama zaidi wanakwambia umekufa kizaka!
Shughuli ukisema unajifufua, sikiliza mtiti wake!!
Mfano kama nilikuwa na ngombe 100 bahati mbaya wakafa 10 na kwenye hao 90 waliobaki wakazaa wote lakini bahati mbaya ndama 9 wakafa je nitatoa zaka au la?
 
Kumbe unakubali hili ?




Mbona unatuchanganya hapa ?...

Umesema Yesu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa binadamu na Roho ya mtakatifu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa binadamu .

Kwa maelezo yako hapo juu ina maana Yesu na Roho mtakatifu zote ni nafasi za Mungu Ila 'ndani ya mwili wa binadamu'

Yaani ulimaanisha

Yesu ndani ya mwili wa binadamu =Roho mtakatifu ndani ya mwili wa binadamu



Halafua ukasema tena.





Embu fafanua hizo 'bold' hapo juu.?
Ni nafsi hiyo hiyo wewe ukiwa unaendesha ndege unaitwa rubani ukiwa unaendesha gari unaitwa dereva ila unalo jina lako kamili ndiyo (mungu ) pia sikusema roho mtakatifu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa mwanadamu ila nilisema mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya mwanadamu hivyo kunakuwa na nafsi mbili ndani ya mwili mmoja kitendo ndiyo kinaitwa kuwa na roho mtakatifu
 
Ni nafsi hiyo hiyo wewe ukiwa unaendesha ndege unaitwa rubani ukiwa unaendesha gari unaitwa dereva ila unalo jina lako kamili ndiyo (mungu )
Kwa maelezo haya nimekuelewa....kwa maelezo yako haya tukisema
Mungu=Yesu=Roho Mtakatifu je tupo sahihi ?....

pia sikusema roho mtakatifu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa mwanadamu ila nilisema mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya mwanadamu hivyo kunakuwa na nafsi mbili ndani ya mwili mmoja kitendo ndiyo kinaitwa kuwa na roho mtakatifu
Hizo nafsi mbili ndani ya mwili mmoja wa binadamu ni nafsi ipi na ipi ?

Je huyu binadamu mwenye nafsi mbili roho yake ya kibinadamu haipo ?....
 
Kwa maelezo haya nimekuelewa....kwa maelezo yako haya tukisema
Mungu=Yesu=Roho Mtakatifu je tupo sahihi ?....


Hizo nafsi mbili ndani ya mwili mmoja wa binadamu no nafsi ipi na ipi ?

Je huyu binadamu mwenye nafsi mbili roho yake ya kibinadamu haipo ?....
Ni sahihi kabisa yesu ni mungu alitwaa mwili ....hivyo vitu vitatu ni nafsi moja
 
Kwa maelezo haya nimekuelewa....kwa maelezo yako haya tukisema
Mungu=Yesu=Roho Mtakatifu je tupo sahihi ?....


Hizo nafsi mbili ndani ya mwili mmoja wa binadamu ni nafsi ipi na ipi ?

Je huyu binadamu mwenye nafsi mbili roho yake ya kibinadamu haipo ?....
Ni kama wewe una roho mtakatifu basi maana yake ni nafsi yako na nafsi ya mungu ndani ya mwili mmoja
 
Ni sahihi kabisa yesu ni mungu alitwaa mwili ....hivyo vitu vitstu ni nafsi moja
walio buni kuwa mungu anazo nafsi tatu ni wahuni wa makanisa walio uchafua ukristo kwa mauaji ya kutisha na uovu mwingi ...ndiyo hao walio kuja afrika tutufanya watumwa ....wewe ukishasema tu mungu ana nafsi tatu basi ujue umekuwa CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU.NI IBADA KAMA YA SANAMU TU
Mbona Sasa unawaita hawa wanaoamini hili kuwa ni wahuni ?
 
Mbona Sasa unawaita hawa wanaoamini hili kuwa ni wahuni ?
Injili mnayo fundishwa makanisani ni uhuni ...amini ninacho kuambia aina ukweli hata kwa asilimia 2% ni tofauti kabisa na njili ya kweli.
 
Injili mnayo fundishwa makanisani ni uhuni ...amini ninacho kuambia aina ukweli hata kwa asilimia 2% ni tofauti kabisa na njili ya kweli.
Injili ya kweli ni ipi ?.....ipoje ?....wapi unaweza kuipata zaidi ya kanisani ?
 
Injili ya kweli ni ipi ?.....ipoje ?....wapi unaweza kuipata zaidi ya kanisani ?
Tumia akili ...weka unafiki pembeni ...weka ushabiki pembeni ...futa mafundisho yote uliyo lishwa makanisani na watu waovu wanaojidai watumishi wa mungu kisha anza upya kusoma injili vizuri ...utajua uhuni wote uliopo kwa wakristo wa leo ....siku nikifunguka uongo mkubwa uliopo makanisani kuhusu kwanini yesu alisulibiwa ndiyo mtashangaa maana hakuna mtu yoyote katika ukristo wala uislamu atakaye weza kubisha sababu nitakazo zitoa zinajitukuza zenyewe tena bila shaka yoyote..Yesu akusulubiwa kwa sababu ya dhambi za asili ni uongo mkubwa mno...
 
Tumia akili ...weka unafiki pembeni ...weka ushabiki pembeni ...futa mafindisho yote uliyo lishwa makanisani na watu waovu wanaojidai watumishi wa mungu kisha anza upya kusoma injili vizuri ...utajua uhuni wote uliopo kwa wakristo wa leo ....siku nikifunguka uongo mkubwa uliopo makanisani kuhusu kwanini yesu alisulibiwa ndiyo mtashangaa maana hakuna mtu yoyote katika ukristo wala uislamu atakaye weza kubisha sababu nitakazo zitoa zinajitukuza zenyewe tena bila shaka yoyote..Yesu akusulubiwa kwa sababu ya dhambi za asili ni uongo mkubwa mno...
Anzisha thread ukipata muda kuhusu hii injili ya kweli, wadau waje wajifunze.

Ila makanisani bado ndio sehemu nzuri ya kuipokea injili.
 
Anzisha thread ukipata muda kuhusu hii injili ya kweli, wadau waje wajifunze.
Wacha nikupe siri ukijua kwanini yesu alisulibiwa ...utakuwa umejua kwanini siku ya kiama hakuna toba.
Japo watu wote watatubu
 
Anzisha thread ukipata muda kuhusu hii injili ya kweli, wadau waje wajifunze.

Ila makanisani bado ndio sehemu nzuri ya kuipokea injili.
Ukitaka kujua ukweli tumia hata haya niliyo yasema kisha yapime kwa kusoma upya injili ...utagundua ni kwanini yesu alipo kuwa hai alisema atakufa na siku ya 3 atafufuka ila alipo kuwa msalabani anamwambia yule aliye sulibiwa naye kuwa leo hii utakuwa pamoja nami peponi ....mtu mpumbavu ataona hapo ni lugha gongana ila mimi kwa kuwa naijua injili ya kweli nijua ni nini alicho kuwa ana maanisha Yesu wala siyo lugha gongana .....pia ukitumia haya niliyo kuambia utajua kuwa Yesu alipo ulizwa swali na wanafunzi wake kuhusu kiama kitakuwa lini ...utagundua kuwa yesu alisema yeye anajua siku ya kihama ...tofauti na wakristo wanavyo fundishwa kuwa yesu alisema hajui ...ila ukweli ni kwamba alicho jibu yesu kilikuwa ni kukili kuwa anajua wala siyo kukataa ina logic sawa na kufufuka siku ya tatu ila ana mwambia yule mtu msalabani leo hii tutakuwa pamoja pema peponi.
 
Fungu la kumi ni sehemu ya kumi ya mapato yako yote, hakuna mahali ambapo Biblia imeandika 10% inatokana na faida utakayoipata. Sehemu Moja kati ya kumi za mapato yako siyo mali yako ukipewa Ng'ombe 100 elewa 10 ni mali ya Bwana. Ukikimaa nao ni Kwa hasara yako.
Wakizaa 20 tambua Ng'ombe wawili (02) siyo wako.

Suala hili la kuangalia faida ndipo utoe sielewi msingi wake kibiblia ni upi. 10% ni Kodi ya Mungu na ni kipimo cha usimamizi wa raslimali tulizokasimishwa na Mungu.

Tujiulize ikiwa Serikali hukata kodi kwa asilimia fulani na mathalani ikiongeza mishahara kiwango cha kodi nacho huongezeka. Swali hapa ni je? Kodi hiyo hukatwa kwenye faida au mapato yote?. Wakadiriaji wa kodi nchini wanaangalia faida ndipo wakadirie kodi au wanaangalia thamani ya jumla ya uwekezaji na wastani wa mapato?

Kwa nini kwenye kulipa zaka kuna porojo nyingi?. Naendekea kujifunza ila sijakutana na utafiti unaoonesha kuwa mtu anaweza kufilisika kwa kutoka zaka Kwa uaminifu. Hapa kuna Siri kubwa sana ya mafanikio imefungwa Ili yamkini hata wale wanaoona wasione.

Kipi kinafilisi au kigumu kutoa kati ya zaka na kafara. Kama watu wanajitoa mpaka nafasi zao kwa nini hapa kwenye zaka tunapata ugumu?. Baba yako akiwa na magari elfu moja akakupa 10 kisha akakupima usimamizi Ili akupe zaidi kwa kukutaka umpe moja unafikiri ni kwa faida ya nani? Je ? Baba yako atakuwa amefilidika au wewe ukishindwa kuonesha uaminifu ndiyo utajitia umasikini?
Ndugu suala imani lina utata kama imani si yako,watu wanajifanya wanamuamini MUNGU kumbe ni pretenders tu maana wengi huamini katika ulozi(ushirikina) na kuutetea kwa nguvu zote lkn hukataa uponyaji wakidai ni uongo.Je hapo si ibilisi anatukuzwa kuliko MUNGU?Je ulozi sio muujiza?sorry for being out of the topic.
 
Back
Top Bottom