Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

Yes,wanatunza wasiojuweza
Ht kkkt niliyopo mie pia wanafanya hivyo
Na Kuna mchungaji anawatembelea
KKKT ni tofauti na makanisa wezi ya walokole.
KKKT ..kanisa sio mali binafsi ya askofu na pesa zinajulikana zinapoenda ila ulokoleni kanisa ni mali binafsi ya askofu na familia yake,zaka na sadaka ni pesa zinazoenda kunufaishia mchungaji na familia yake
 
Hata hayo ya walokole pia yametofautiana
Kuna yenye mifumo ,km Yale makubwa yenye matawi mpk mikoa,Wana utaratibu pia!

Ila haya ya mtu mmoja mmoja ndo hivyo!
Lkn pia mi nimeenda baadhi ya makanisa,nyie acheni tu sadaka unakuta ht elf 20 haifiki!

Hayo mnayoona watu wanakula na yana watu wengi wenye uwezo,watoaji ni machache sn ukilinganisha na ya kawaida
 
Sadaka zinatosha kuendesha kanisa,fungu la kumi ni kuibia waumini tu
Zaka kwa ulimwengu wa leo ni mishahara ya wachungaji au maaskofu. Na ni sawa kwa misingi ya biblia. Zamani makuhani walikuwa wanakula hekaluni kile kilicholetwa na waumini. sasa leo makuhani ni viongozi wetu. sasa changamoto inatakiwa wawe wamenyooka na huduma, ila kituko ni kwamba tunao wachungaji na maaskofu ambao wanapiga huduma wanakusanya zaka na huku wana miradi mingine. Hapo ndo naona shida
 
Zaka ni kodi na inatolewa kutoka kwenye pato lako ghafi, bahati mbaya watu siku hizi wanakatwa makato mengi sana kwenye mapato yao, hakuna zaka tena, labda kama unataka kujifurahisha na kuwafurahisha watu. Umeshatoa kodi ya mapato kwenda kughalimia huduma ambazo zilikuwa zinaghalimiwa na zaka enzi hizooo wakati dini zinaundwa.
 
Zaka ilikuwa katika mfumo wa mazao,
Katika kila mafungu kumi (moja la kumi ndilo hutolewa kama zaka) ambayo ni sawa na asilimia kumi ya kile ulichokipata wakati wa mavuno,
Same na mshahara ama biashara
Kwahiyo Zaka Ndio fungu la 10?
 
Na nauli ni makato pia, mana hizo ni expenses za kazi,

Halafu jibu swali, Zaka inakatwa on revenue or Profit ?
Hakuna in between
Mi sio mwajiriwa,sijawahi kuwa mwajiriwa
Kwahiyo hata sijui unachouliza mkuu😅
 
Kitendo cha kupewa tu hapo lazima katika hao Mia toa ng'ombe 10 zaka kwanza
 
Shalom kaka.. Hahaha eti kujifufua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…