Zakazakazi: Siku Moja kabla ya mechi tulimkamata Mtu anapulizia dawa kwenye Vyumba vyetu Mkapa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani.

Zakazakazi amesema wazi kuwa Yanga hawapaswi kutafuta sababu za nje kabla au baada ya mechi, akidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakinufaika na mazingira yanayowabeba. Kwa mujibu wake, suala la vyumba halina tatizo lolote kwa sababu Azam FC walipewa ufunguo rasmi na meneja wa uwanja kama utaratibu wa kawaida.

Ameongeza kuwa kila kitu kilifanyika kwa kufuata taratibu za uwanja na hakuna timu iliyonyimwa haki yake. “Yanga wasitafute visingizio. Wamezoea kubebwa kwenye mambo mengi lakini safari hii kila kitu kiko wazi. Kuhusu vyumba, sisi wenyewe tulipewa funguo na meneja wa uwanja, hivyo hakuna cha ajabu hapo,” amesema Zakazakazi.

Kauli hiyo tayari imeanza kuzua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa soka nchini, hasa ukizingatia ushindani mkubwa uliopo kati ya Azam FC na Yanga katika harakati za kutafuta mafanikio kwenye ligi na mashindano mbalimbali.

Eng hers ni moja kati ya viongozi wa hovyo sana kwenye soka la bongo,uongozi wake una tuhuma nyingi sana

Shida ni kupenda kusifiwa na kuonekana yeye ni masta mtu asiyeshindwa antaka kutumia kila mbinu ili aonekane yupo kwenye ubora muda wote

Ndo maana huko serikarini kwenye teuzi wanamchinjia baharini wanajua si kiongozi wa maana ni kanjanja,
 
Kwani hua ni team gani ya kwanza kufika uwanjani naya mwisho kutoka uwanjani wakati wa mazoezi?Kwani kauli ya zaka zakazi ndo ukweli ambao sisi wote tunatakiwa tuishi nayo?
 
Eng hers ni moja kati ya viongozi wa hovyo sana kwenye soka la bongo,uongozi wake una tuhuma nyingi sana

Shida ni kupenda kusifiwa na kuonekana yeye ni masta mtu asiyeshindwa antaka kutumia kila mbinu ili aonekane yupo kwenye ubora muda wote

Ndo maana huko serikarini kwenye teuzi wanamchinjia baharini wanajua si kiongozi wa maana ni kanjanja,
Simba wakiweza kudhibiti taarifa zao yanga watamfukuza Hersi, ana mbinu zaidi ya kuwaiga Simba wanachofanya kwa kifupi anatafuta umaarufu kupitia mgongo wa Simba.
 
?Sasa hua mnamulaumu Mangungu kwa kosa gani

Yaani umuige mtu uanemfunga kila siku?
 
Back
Top Bottom