Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sa mbona derby iliyopita kule zanzibar simba ndo wamepigwa faini nyingi ikiwemo za ushirikina?Yanga hawezi kuingia uwanjani bila aidha kununua mechi au kuroga
Mimi naongelea strategy za Yanga. Wew unaniletea habari za Simba.Sa mbona derby iliyopita kule zanzibar simba ndo wamepigwa faini nyingi ikiwemo za ushirikina?
Mangungu anaingiaje kwenye mambo ya mechi ya Azam vs Yanga? Au tuseme Zakazakazi ni msemaji wa Simba siku hizi? Usiingize Simba kwenye mambo yenu.Sasa hua mnamulaumu Mangungu kwa kosa gani?
Kwaiyo mwasibu ya yanga ndo unayashadadia! Yenu hamuyaoni!!Mimi naongelea strategy za Yanga. Wew unaniletea habari za Simba.
Benchmark should be laws of the game and not SimbaKwaiyo mwasibu ya yanga ndo unayashadadia! Yenu hamuyaoni!!
Anapaswa ajibizane na Azam, siyo Simba.Benchmark should be laws of the game and not Simba
Ndo hapo sasa.Sasa hua mnamulaumu Mangungu kwa kosa gani?
Simba wakiweza kudhibiti taarifa zao yanga watamfukuza Hersi, ana mbinu zaidi ya kuwaiga Simba wanachofanya kwa kifupi anatafuta umaarufu kupitia mgongo wa Simba.Eng hers ni moja kati ya viongozi wa hovyo sana kwenye soka la bongo,uongozi wake una tuhuma nyingi sana
Shida ni kupenda kusifiwa na kuonekana yeye ni masta mtu asiyeshindwa antaka kutumia kila mbinu ili aonekane yupo kwenye ubora muda wote
Ndo maana huko serikarini kwenye teuzi wanamchinjia baharini wanajua si kiongozi wa maana ni kanjanja,
Eng hers ni moja kati ya viongozi wa hovyo sana kwenye soka la bongo,uongozi wake una tuhuma nyingi sana

Yaani umuige mtu uanemfunga kila siku?Simba wakiweza kudhibiti taarifa zao yanga watamfukuza Hersi, ana mbinu zaidi ya kuwaiga Simba wanachofanya kwa kifupi anatafuta umaarufu kupitia mgongo wa Simba.
Soma lilicho andika hilo kolo lenzako huko juuMangungu anaingiaje kwenye mambo ya mechi ya Azam vs Yanga? Au tuseme Zakazakazi ni msemaji wa Simba siku hizi? Usiingize Simba kwenye mambo yenu.
Wanaharibu mpira wetu.Yanga hawezi kuingia uwanjani bila aidha kununua mechi au kuroga
Basi Simba ni timu inayo nunulika kirahisi sanaYanga hawezi kuingia uwanjani bila aidha kununua mechi au kuroga