Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

Simba bingwa mara 22.

Ifuatayo ni miaka ambayo simba amechukua ubingwa.

1965,1966, 1973, 1976, 1977, 1978, 1979, 1980, 1993, 1994, 1995, 2001, 2002, 2003, 2004, 2007, 2009–10, 2011–12, 2017–18, 2018–19, 2019–20, 2020–21.

Sources' Trust me bro.
 
Caf cup ni tofaut na caf confederation hilo tumeshalieliza sana tena kwa mifano halisi. Africa cup winner's cup ndio ilikuwa ni sawasawa na caf confederation cup na ndio maana mshindi wa Africa cup winner's cup alikuwa akicheza caf super cup dhidi ya mahindi wa Africa cup of champions club. Mbona lipo wazi hilo, hili swala halifanani na hoja uliyomuwakilisha Zaka Zakazi.
Sasa Raisi Karia juzi hapo ametoka kusema kuwa Simba ilicheza fainali hizo ambazo wewe unakataa.

Na hata Ally Kamwe siku ta interview kuelekea mechi na USM ALGER alikiri kuwa Yanga ni Club ya pili kucheza fainali

Sasa hapa ndio unapozidi kunipa wakati mgumu wa kuamua tutumir chanzo kipi kama references

Hata ukikaidi utapigwa2 ali suggest tutumie source kutoka TFF kama references. Lakini since umeonesha doubt kwenye kauli ya Raisi wa shirikisho kuhusiana na rekodi ya Simba kucheza fainali.

Basi hiyo inaonesha TFF nayo sio chombo vha kuaminika.

Hivyo nataka uniambie wewe tutumie chanzo kipi kama rejea?
 
Fact kupitia chanzo kipi ambacho tunapswa kukubaliana tangu mwanzo?

Mi hapa ndio napoliona tatizo lilipo
Source zipo nyingi tu ili mradi itembee kwenye key point ambayo ni ligi kuu Tanzania bara. Wewe lete source zako zinazoonesha waliochukua ubingwa wa ligi ya Tanzania. Huyo Zaka Zakazi hajaongelea mabingwa wa Tanzania bara kwasababu Malindi na KMKM hawajawahi kuwa timu za Tanzania bara na wala hawakuwahi kushiriki ligi ya Tanzania bara.
 
Sasa Raisi Karia juzi hapo ametoka kusema kuwa Simba ilicheza fainali hizo ambazo wewe unakataa.

Na hata Ally Kamwe siku ta interview kuelekea mechi na USM ALGER alikiri kuwa Yanga ni Club ya pili kucheza fainali

Sasa hapa ndio unapozidi kunipa wakati mgumu wa kuamua tutumir chanzo kipi kama references

Hata ukikaidi utapigwa2 ali suggest tutumie source kutoka TFF kama references. Lakini since umeonesha doubt kwenye kauli ya Raisi wa shirikisho kuhusiana na rekodi ya Simba kucheza fainali.

Basi hiyo inaonesha TFF nayo sio chombo vha kuaminika.

Hivyo nataka uniambie wewe tutumie chanzo kipi kama rejea?
Hao TFF na Ally Kamwe ni binadamu kama wewe je hawawezi kukosea? Basi ili wawe wamepatia kauli zao basi niambie hao Stella walicheza caf super cup dhidi ya nani katika ufunguzi wa pazia jipya la msimu wa 1994? Nina uhakika asilimia 100 USM anaenda kucheza caf super cup dhidi ya Al Ahly. Basi njoo na uthibitisho au ushahidi kuwa Stella walicheza caf super cup kama ambavyo leo hii USM Alger anavyocheza caf super cup dhidi ya Al Ahly. Kumbe unaonesha ni mtu wa kufuata mkumbo tu kichwani utaki kujishughulisha.
 
Yeye na timu yake amekuwa bingwa mara ngapi atutolee makasiriko hapa.
 
Attachments

  • 20230609_202112.jpg
    20230609_202112.jpg
    473.4 KB · Views: 7
Sasa Raisi Karia juzi hapo ametoka kusema kuwa Simba ilicheza fainali hizo ambazo wewe unakataa.

Na hata Ally Kamwe siku ta interview kuelekea mechi na USM ALGER alikiri kuwa Yanga ni Club ya pili kucheza fainali

Sasa hapa ndio unapozidi kunipa wakati mgumu wa kuamua tutumir chanzo kipi kama references

Hata ukikaidi utapigwa2 ali suggest tutumie source kutoka TFF kama references. Lakini since umeonesha doubt kwenye kauli ya Raisi wa shirikisho kuhusiana na rekodi ya Simba kucheza fainali.

Basi hiyo inaonesha TFF nayo sio chombo vha kuaminika.

Hivyo nataka uniambie wewe tutumie chanzo kipi kama rejea?
Hakusema Shirikisho alisema michuano ya CAF. Kama wewe ulishiriki Shirikisho tuambie huyo aliyekufungeni alicheza na nani SUPER CUP?
 
Caf cup ni tofaut na caf confederation hilo tumeshalieliza sana tena kwa mifano halisi. Africa cup winner's cup ndio ilikuwa ni sawasawa na caf confederation cup na ndio maana mshindi wa Africa cup winner's cup alikuwa akicheza caf super cup dhidi ya mahindi wa Africa cup of champions club. Mbona lipo wazi hilo, hili swala halifanani na hoja uliyomuwakilisha Zaka Zakazi.
Ingia mtandao wa CAF wanasema CAF Cup na Winner's Cup ZILIUNGANISHWA ndiyo zikazaa Shirikisho. Haina tofauti na TANU na ASP kuungana kuzalisha CCM, je utasema upande mmoja hauna maana?

Ingekuwa haina maana wangesema tu CAF Cup ilifutwa baaasi ila kusema iliunganishwa ina maana Shirikisho imekuwa "tied" na mashindano yote mawili yalioizalisha kwa usawa.
 
Kilichofanyika hapo ni kufuta shindano moja na pia kulibadilisha jina shindano lingine. Ukitaka kujua hilo basi fanya mlinganisho wa mashindano hayo mawili ( caf cup na Africa cup winner's cup) utaona kuna shindano lilikuwa sawa sawa na caf confederation cup kwa hivi sasa, na lingine halikuwa na mfanano
 
Basi wangetumia neno "limefutwa" badala ya mashindano hayo mawili "yameunganishwa". Maneno yana maana, hatuyatumii tu.
 
Kwenye Website ya Yanga hadi mwaka 2016, ukihesabu miaka waliyoiandika inaonesha wamechukua ubingwa mata 22.
Ila juu wameandika wamechukua ubingwa mara 27.

Nimeshindwa kuwaelewa
ile kauli ya Manara mkuu umeisahau?
utopolo wanaweza kugomea hata data za tff ila wakaziamini za mzee mpili
 
Kilichofanyika hapo ni kufuta shindano moja na pia kulibadilisha jina shindano lingine. Ukitaka kujua hilo basi fanya mlinganisho wa mashindano hayo mawili ( caf cup na Africa cup winner's cup) utaona kuna shindano lilikuwa sawa sawa na caf confederation cup kwa hivi sasa, na lingine halikuwa na mfanano
unabishana na CAF? wao wanasema waliunganisha wewe unasema wamefuta?
hii nchi ina watu wabishi aiser
 
Source zipo nyingi tu ili mradi itembee kwenye key point ambayo ni ligi kuu Tanzania bara. Wewe lete source zako zinazoonesha waliochukua ubingwa wa ligi ya Tanzania. Huyo Zaka Zakazi hajaongelea mabingwa wa Tanzania bara kwasababu Malindi na KMKM hawajawahi kuwa timu za Tanzania bara na wala hawakuwahi kushiriki ligi ya Tanzania bara.
Source nyingi kama zipi?
 
Hao TFF na Ally Kamwe ni binadamu kama wewe je hawawezi kukosea? Basi ili wawe wamepatia kauli zao basi niambie hao Stella walicheza caf super cup dhidi ya nani katika ufunguzi wa pazia jipya la msimu wa 1994? Nina uhakika asilimia 100 USM anaenda kucheza caf super cup dhidi ya Al Ahly. Basi njoo na uthibitisho au ushahidi kuwa Stella walicheza caf super cup kama ambavyo leo hii USM Alger anavyocheza caf super cup dhidi ya Al Ahly. Kumbe unaonesha ni mtu wa kufuata mkumbo tu kichwani utaki kujishughulisha.
Kwani wewe Mkuu sio binadamu?

Umekomalia hapo kwenye Super Cup, kwani haiwezekani sheria zilizotumiwa kipindi hicho ni tofauti?
 
Hakusema Shirikisho alisema michuano ya CAF. Kama wewe ulishiriki Shirikisho tuambie huyo aliyekufungeni alicheza na nani SUPER CUP?
Nani ambaye hakusema, maana hapo nimetaja watu wawili.

Super Cup si sheria tu zinaweza zikawa zilikuwa tofauti kwa miaka hiyo kwani hapo tatizo ni nini?

CAF wao wanakuanbia wameunganisha CAF Cup na African Cup winners kuwa CAF Confederation Cup.

Wewe unasema Super Cup yani unawabishia wenye mashindano.
 
CAF cup sio confederation mshindi wa hilo kombe alicheza super cup 1994?
We kitoga Super Cup si ni maswala ya kanuni tu?

Sasa kama kwa miaka hiyo wao waliamua Super Cup wasihusishe mabingwa wa CAF Cup kwasababu walizozijua wao, we utabishaje?

Na hao ndio waliosema kuwa CAF Confederation ni muunganiko wa CAF Cup na African cup winners, ina maana wao hawakujua kuwa CAF Cup halikuwa na vigezo ambavyo nyinyi mnaona halikustahili kuunganishwa na CAF Confederation Cup?
 
Namkubali sana huyu jamaa,anajua sana kuchambua taarifa zenye kuhitaji takwimu,ni mtu na nusu
 
Back
Top Bottom