Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

Unawekeza hisia sana kwa hizi timu na hawa wachezaji kiasi kwamba hata ukisikia utani tu unaumizwa. Usichukulie mambo serious sana dogo.
Mtu anafikia hatua ya kuandika hivyo halafu anataka kusema sio shabiki wa Yanga

bullar unapata nini kuongea uongo?

Wewe na mwenzako Bila bila mmefanya ionekane kuwa shabiki wa Yanga ni kama ushamba au kitu fulani hivi ambacho sio cha kujivunia au kutangaza mbele za watu.

Just be free ndio timu yako sasa utafanyaje
 
Ana mtindo wa kukimbia mada. Uzuri rekodi zimewekwa sawa, atakayejizima data aendelee na habari za mara 29 shauri yake.
Zakazakazi kafumua fumua yale matuta ya karanga waliyokuwa wamejificha.

Hawana hoja tena

Na kinachokuja kuonesha kwamba Zakazakazi yupo documentary ni pale ambapo anatoa hoja kutoka kwenye kitabu cha kanuni zilizotumika kuendeshea mfumo wa ligi wa miaka hiyo.

Wakati wakina changaule wanatumia sources za trust me bro
 
Mtu anafikia hatua ya kuandika hivyo halafu anataka kusema sio shabiki wa Yanga

bullar unapata nini kuongea uongo?

Wewe na mwenzako Bila bila mmefanya ionekane kuwa shabiki wa Yanga ni kama ushamba au kitu fulani hivi ambacho sio cha kujivunia au kutangaza mbele za watu.

Just be free ndio timu yako sasa utafanyaje
Au waseme tu sasa hivi kule kwao wameongezeka wamefika wanne, tutawapima tukiona wanastahili tutawaamini 🤣😂🤣
 
Zakazakazi kafumua fumua yale matuta ya karanga waliyokuwa wamejificha.

Hawana hoja tena

Na kinachokuja kuonesha kwamba Zakazakazi yupo documentary ni pale ambapo anatoa hoja kutoka kwenye kitabu cha kanuni zilizotumika kuendeshea mfumo wa ligi wa miaka hiyo.

Wakati wakina changaule wanatumia sources za trust me bro
Nimeona maana walikuwa wanahoji TFF wanasemaje, sasa kaonyesha source isiyo na shaka. Hawakutegemea kama angekuja na source ya uhakika yenye uthibitisho kama hii.
 
Unawekeza hisia sana kwa hizi timu na hawa wachezaji kiasi kwamba hata ukisikia utani tu unaumizwa. Usichukulie mambo serious sana dogo.
Tumia akili hata kidogo ushabiki gani mpaka kwenye familia za watu? topic ina husu ubingwa wa mchongo unaingiza vitu havihusiki mtoto wa Mayele anahusika nini kwenye hili swala?
 
Mtu anafikia hatua ya kuandika hivyo halafu anataka kusema sio shabiki wa Yanga

bullar unapata nini kuongea uongo?

Wewe na mwenzako Bila bila mmefanya ionekane kuwa shabiki wa Yanga ni kama ushamba au kitu fulani hivi ambacho sio cha kujivunia au kutangaza mbele za watu.

Just be free ndio timu yako sasa utafanyaje
Unanifahamu,? kwanini unilazimishe kitu au ni lazima niwe unavyo taka wewe kua?
 
Kwa hiyo huyu sio wewe hapa?
Screenshot_20230621-153757.png
 
Mara ngapi humu wewe hua una sema shabiki wa Yanga?
Huwa nafanya trolling kuwadhihaki indirectly lmashabiki wa Yanga, lakini wote hao wanajua mimi ni Kolo kwasababu maeneo mengi tumecharulana kwenye kuisema Yanga negative

Wewe haikuwa trolling na ndio maana hata mijadala mingi umekuwa ukiwa supported na mashabiki wa Yanga kwasababu you been feeding their ego
 
What if na mimi na fanya kama wewe?
mind you mimi napenda football na hizi timu za bongo nafatilia ila sija wahi kua shabiki labda sababu siku kulia Tz nmekuja na nisha kua mkubwa hata hii account ya JF haikua yangu nlipewa ikiwa ina run mimi nlishindwa kufungua
 
Tumia akili hata kidogo ushabiki gani mpaka kwenye familia za watu? topic ina husu ubingwa wa mchongo unaingiza vitu havihusiki mtoto wa Mayele anahusika nini kwenye hili swala?
Basi pole mwaya. Ningetaka kuifanya mada serious kama unavyodhani usingeona nimeichomeka kwenye mada hii, ungeona nimeifungulia uzi wake.
 
Da team zetu zilijimilikisha makombe ya muungano na Yale ambayo ligi hazikuisha , huyu Zaka kiboko
 
Basi pole mwaya. Ningetaka kuifanya mada serious kama unavyodhani usingeona nimeichomeka kwenye mada hii, ungeona nimeifungulia uzi wake.
Tutumie mitandao vizuri sio Ku bully watu nlikua napita page ya Bruno Gomez waswahili bila kujua yule mtoto wame mu adopt wanaongea vitu vya aibu kabisa unadhani mke wa Bruno anajisika aje? huyo mtoto wa Mayele mwenyewe nliona kafanana na Diara lkn nliamua kukaa kimya sio kila kitu ni cha kuongea
 
Sawasawa, nakubali 🤝🏿
 
Mtoto wa Mayele kafanana na Diarra. Ukakaa kimya, yaani hapo ndio unajisifu kuwa umekaa kimya.
 
Naye data zake zina walakini. Mbona hajaitaja MTIBWA SUGAR ambayo ilichukua ubingwa mara 2 mfululizo 1999 na 2000?
 
Yanga ni Mabingwa mara 24.
Simba ni mabingwa mara 22.

Ushahidi upo.
 
Back
Top Bottom