Mtu anafikia hatua ya kuandika hivyo halafu anataka kusema sio shabiki wa YangaUnawekeza hisia sana kwa hizi timu na hawa wachezaji kiasi kwamba hata ukisikia utani tu unaumizwa. Usichukulie mambo serious sana dogo.
Zakazakazi kafumua fumua yale matuta ya karanga waliyokuwa wamejificha.Ana mtindo wa kukimbia mada. Uzuri rekodi zimewekwa sawa, atakayejizima data aendelee na habari za mara 29 shauri yake.
Au waseme tu sasa hivi kule kwao wameongezeka wamefika wanne, tutawapima tukiona wanastahili tutawaamini 🤣😂🤣Mtu anafikia hatua ya kuandika hivyo halafu anataka kusema sio shabiki wa Yanga
bullar unapata nini kuongea uongo?
Wewe na mwenzako Bila bila mmefanya ionekane kuwa shabiki wa Yanga ni kama ushamba au kitu fulani hivi ambacho sio cha kujivunia au kutangaza mbele za watu.
Just be free ndio timu yako sasa utafanyaje
Nimeona maana walikuwa wanahoji TFF wanasemaje, sasa kaonyesha source isiyo na shaka. Hawakutegemea kama angekuja na source ya uhakika yenye uthibitisho kama hii.Zakazakazi kafumua fumua yale matuta ya karanga waliyokuwa wamejificha.
Hawana hoja tena
Na kinachokuja kuonesha kwamba Zakazakazi yupo documentary ni pale ambapo anatoa hoja kutoka kwenye kitabu cha kanuni zilizotumika kuendeshea mfumo wa ligi wa miaka hiyo.
Wakati wakina changaule wanatumia sources za trust me bro
Tumia akili hata kidogo ushabiki gani mpaka kwenye familia za watu? topic ina husu ubingwa wa mchongo unaingiza vitu havihusiki mtoto wa Mayele anahusika nini kwenye hili swala?Unawekeza hisia sana kwa hizi timu na hawa wachezaji kiasi kwamba hata ukisikia utani tu unaumizwa. Usichukulie mambo serious sana dogo.
Unanifahamu,? kwanini unilazimishe kitu au ni lazima niwe unavyo taka wewe kua?Mtu anafikia hatua ya kuandika hivyo halafu anataka kusema sio shabiki wa Yanga
bullar unapata nini kuongea uongo?
Wewe na mwenzako Bila bila mmefanya ionekane kuwa shabiki wa Yanga ni kama ushamba au kitu fulani hivi ambacho sio cha kujivunia au kutangaza mbele za watu.
Just be free ndio timu yako sasa utafanyaje
Huwa nafanya trolling kuwadhihaki indirectly lmashabiki wa Yanga, lakini wote hao wanajua mimi ni Kolo kwasababu maeneo mengi tumecharulana kwenye kuisema Yanga negativeMara ngapi humu wewe hua una sema shabiki wa Yanga?
What if na mimi na fanya kama wewe?Huwa nafanya trolling kuwadhihaki indirectly lmashabiki wa Yanga, lakini wote hao wanajua mimi ni Kolo kwasababu maeneo mengi tumecharulana kwenye kuisema Yanga negative
Wewe haikuwa trolling na ndio maana hata mijadala mingi umekuwa ukiwa supported na mashabiki wa Yanga kwasababu you been feeding their ego
Basi pole mwaya. Ningetaka kuifanya mada serious kama unavyodhani usingeona nimeichomeka kwenye mada hii, ungeona nimeifungulia uzi wake.Tumia akili hata kidogo ushabiki gani mpaka kwenye familia za watu? topic ina husu ubingwa wa mchongo unaingiza vitu havihusiki mtoto wa Mayele anahusika nini kwenye hili swala?
Ni haki yako na unaitumia sahihiHuyo ni Gongowazi lia lia hata usijsumbue
Tutumie mitandao vizuri sio Ku bully watu nlikua napita page ya Bruno Gomez waswahili bila kujua yule mtoto wame mu adopt wanaongea vitu vya aibu kabisa unadhani mke wa Bruno anajisika aje? huyo mtoto wa Mayele mwenyewe nliona kafanana na Diara lkn nliamua kukaa kimya sio kila kitu ni cha kuongeaBasi pole mwaya. Ningetaka kuifanya mada serious kama unavyodhani usingeona nimeichomeka kwenye mada hii, ungeona nimeifungulia uzi wake.
Sawasawa, nakubali 🤝🏿Tutumie mitandao vizuri sio Ku bully watu nlikua napita page ya Bruno Gomez waswahili bila kujua yule mtoto wame mu adopt wanaongea vitu vya aibu kabisa unadhani mke wa Bruno anajisika aje? huyo mtoto wa Mayele mwenyewe nliona kafanana na Diara lkn nliamua kukaa kimya sio kila kitu ni cha kuongea
Mtoto wa Mayele kafanana na Diarra. Ukakaa kimya, yaani hapo ndio unajisifu kuwa umekaa kimya.Tutumie mitandao vizuri sio Ku bully watu nlikua napita page ya Bruno Gomez waswahili bila kujua yule mtoto wame mu adopt wanaongea vitu vya aibu kabisa unadhani mke wa Bruno anajisika aje? huyo mtoto wa Mayele mwenyewe nliona kafanana na Diara lkn nliamua kukaa kimya sio kila kitu ni cha kuongea
ulitaka nifanye nini?Mtoto wa Mayele kafanana na Diarra. Ukakaa kimya, yaani hapo ndio unajisifu kuwa umekaa kimya.