Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

Sasa angalia hiyo First Division ilianzishwa mwaka 1888, Man U ilianzishwa mwaka 1878

Mpaka hapo hoja yako ni flawed

"Food For Thought"

Chombo kinachoongoza na kutawala mpira wa miguu nchini uingereza kitaitwa (THE FA) au kwa kirefu (The Football Association)

Hiki chombo kimeasisiwa October 1863.

Kiliongoza ma kusimamia shughuli zote za mpira wa miguu nchini Uingereza.

Katika kipindi chote mpaka leo majina ya Ligi yalibadilishwa mara tatu tofauti.

October 1863 - July 1888 ( The Football League)

July 1888 - February 1992 ( Fisrt Division League)

February 1992 - Mpaka sasa ( English Premier League)
 
Huwezi kuleta mashindano ya ndondo ukayaita ubingwa wa Tanzania
 
mtibwa hajawekwa, kwa kumbukumbu zangu amewahi kuwa bingwa miaka ya kati ya 2000-2010 hapa, sikumbuki vizuri mwaka
 
Kulikuwa na ndondo cup
 
Arsenal Unbeaten yake unadhani hakufungwa mashindano mengine? Unajizima data au sio?
 
MFANO KUTOKA ULAYA

Una maanisha msimu wa 1990-91 wa First League Division wa nchini Uingereza ni sawa na Ndondo za mtaani?


Hii hapa ni team squad ya Liverpool ya msimu 1990-91 kabla ya Ligi kuitwa EPL.
View attachment 2658275
We unazungumzia 1990-91 wakati kuna existence ya Club miaka ya 1860s?

Au umesahau ulichokuwa unabishia?
 
Na Simba kachukua Muungano mara ngapi?
 
Nakumbuka hii kitu Yanga sio Mabingwa wa kihistoria aliwahi kuelezea Venus Star lakini watu walibisha kwa mapenzi ya timu.

Ngoja tuone kama kuna watu wataojitokeza kum challenge Zakazakazi kisha tuone hoja zao ni zipi.
Jamani wkt mwingine tutumie akili kidogo. Siyo kila jambo unaletewa hapa na unskubali tu. Hivi toka lini Kmkm na Malindi walishiriki liigi ya tz bara? Ni lini African sport alikuwa bingwa? Ina maana Coastal union na Mtibwa sugar hawajawahi kuwa mabingwa wa ligi yetu?. Upuuzi mwingine msiwe mnaupost hapa maana mnajiaibisha. Kiufupi hii taarifa ni full upotoshaji.
 

Ligi ya Muungano sio ligi kuu,ilizikutanisha timu 4 zilozoshika nafasi 4 la ligi ya bara na timu 4 zilizofanya vizuri Zanzibar
 
2003 Bingwa Tanzania bara alikuwa Simba, ilikuwa 8 Bora nakumbuka kabisa. Aache ujinga wake huyo Zakazakazi
 
Onyesha ligi ambayo ilikuwa rasmi miaka ya 1860 huko ambapo Notts County ilianzishwa.

Notts County ilianzishwa ili kushiriki mashindano gani?
 
kwaio kwenye 29 kuna 6 ya muungano na 5 ya bara waliyochukia kwa misimu hio 6 (yani makombe 11 ya ligi ndani ya misimu 6 sio?)

simba na yanga takwimu zao zina uongo mwingi
 
Zaka za Kazi anajidhalilisha bure, takwimu ziko sahihi, ila alivyo pimbi anakokotoa mabingwa kama calculus. Anachanganya mabingwa wa Bara na Muungano, atuambie ni mwaka gani Malindi ilishiriki ligi ya Bara umbwa huyu. TFF na ujinga wao hawawezi kuwa wajinga kwa kiwango cha Zakazi, wangeshachalenjiwa kitambo sana hii issue. Rekodi zipo na wakongwe waliokuwepo wapo pia, mbwiga wa mbwiga huyu.
 
mkuu kuwa mtulivu na uitazame hoja ya Zakazi kwa umakini, anayo hoja ila inawezekana kaiwasilisha kimakosa!

ligi yetu imeanzishwa rasmi lini? kwa mujibu wa zaka ni 65, kama ndivyo, je kwanini data wanazotoa simba na yanga zinapingana na hesabu?

ukisema kabla ya 65 kulikua na lgi, inabidi useme timu gani zilikua zinashiriki kipindi hicho cha ukoloni, ili tujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…