Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu wawili basi ndiyo Magogoni imesema.
Zama hizi za Chamwino, nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?
Zama hizi za Chamwino, nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?