Zama za Kikwete tulikuwa naye Ridhiwani, Zama za Magufuli ni Makonda, zama hizi nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?

Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu wawili basi ndiyo Magogoni imesema.

Zama hizi za Chamwino, nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?
Msomali a.k.a basha
 
Hon Freeman MBbowe. ukitaka teuzi cheki naye sasa hivi mwambie tu aina ya uteuzi unaotaka, wilaya ama mkoa gani ama taaisisi gani ya serikali unahitaji. Mimi nilichonga naye wamenileta Huku handeni napambana halmshauri
 
Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu wawili basi ndiyo Magogoni imesema.

Zama hizi za Chamwino, nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?
Mbowe
 
Back
Top Bottom