Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Madelu??Lameck!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madelu??Lameck!
Tena??February
Msomali a.k.a bashaHii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu wawili basi ndiyo Magogoni imesema.
Zama hizi za Chamwino, nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?
MboweHii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu wawili basi ndiyo Magogoni imesema.
Zama hizi za Chamwino, nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?
Makamba na AwesoKuna Makamba na Mchengerwa hapo. Mmoja wao
Kweli tupuHata umsemeje, vijana wa kiisilamu hawagusiki serikali hii.
Ukimegewa usinisahau Bwashee.Abdul nasikia ndio Mwamba wa visiwani!
Kama una Namba yake NAOMBA Ili anisemee kwa mama na buyu la asali lianguke pande hizi!
Huyu ndio mtoto pendwa kwasasa..mchengerwa