Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Timu gaidiHii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu wawili basi ndiyo Magogoni imesema.
Zama hizi za Chamwino, nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino!!??
mpwayungu villageHii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu wawili basi ndiyo Magogoni imesema.
Zama hizi za Chamwino, nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino!!??
Nadhani MchengerwaKuna Makamba na Mchengerwa hapo. Mmoja wao
Naunga mkono hojaTofauti na kina baba, wakina mama hupenda watoto wote. Hapa ndiyo shida kubwa inapoanzia.
Hata yale matoto matukutu huwa hayatupwi, wenyewe wanasema uchungu wa mwana.
Hivyo usishangae kuona awamu hii majizi na watakatifu wakinywea kikombe kimoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata umsemeje, vijana wa kiisilamu hawagusiki serikali hii.Aweso. Huyu waziri uwezo kidogo makelele mengi lkn sifa nyingi.
Nani abishe wakati umetumia jina bandia. Labda wewe NDIYE!!Mimi hapa km hamtaki siwalazimishi