Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Umeikana post yako ya mwanzoni aiseee
Nilichosema kupata Zero sio mwisho wa maisha. Aidha unarudia au unafanya chochote ili ufanikiwe hamna anaejali. Kufeli form 4/6 sio mwisho wa maisha.
Tafsiri unayoIJUA wewe sio tafsiri pekee.
 
Ujuaji wa mama mtoto ndio umemfanya babake awe mbali nae huenda baba angemsaidia angalau kitaaluma...malezi ya masingi mom n ya kipuuuzi kama mtoto alielelewa na bibi tuu..
 
Acha kupanic mkuu. Ukiwa na ZERO chuo kikuu sahau mpaka urisiti hakuna cha kurudia sijui form two au three kwa jina lile lile labda uibe la mtu
Naona unapenda ligi. Unafikiri kila mtu anaefeli bongo anarudia kama wewe. Kuna njia nyingi za kufika chuo sio lazima urudie. Haya umeshinda.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto wa Kajala si ndio yule aliyepigwa mti na njemba mpaka wakarekodi na video? Alitrgemea nini wakati alikuwa anawaza miti tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kulia na kuropoka basi kubali ulibug kama shosti ako zama
Tatizo upeo wako umeishia UD and the likes. Ndio maana nimekwambia sio kila anaefeli anapoteza muda kurudia.
 
Point sana hii
 
Watu wanapenda kuwafananisha magenius na vilaza, tuwafananishe na type za akina Diamond Platnumz hao ndo shule haijawasaidia saaaana na wanapiga maisha, ila sio Bill Gates au hata Mark Zuckerberg hao ni watu tofauti sio wa kujifananisha nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbuka wali drop Harvard sio udsm they better take a note,havard mtu 1product ya havard tunae hapa tanzania anasumbua sana ,mikataba yote ya upigaji yupo, na hashtakiwi,maana hakuna ushahidi wa kumfunga,anatumia akili,pale hawasomi wajinga ni vichwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Zamaradi?

Well,I dont trust that thin evil woman!

I'm sorry!

I'm smart enough to know an evil woman when I see one!
 
Zamaradi amejitahidi kushauri ingawa kwenye mifano kachemka aongeze bidii katika kushauri atafika mbali hapo mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…