Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Umeikana post yako ya mwanzoni aiseee
Nilichosema kupata Zero sio mwisho wa maisha. Aidha unarudia au unafanya chochote ili ufanikiwe hamna anaejali. Kufeli form 4/6 sio mwisho wa maisha.
Tafsiri unayoIJUA wewe sio tafsiri pekee.
 
Ujuaji wa mama mtoto ndio umemfanya babake awe mbali nae huenda baba angemsaidia angalau kitaaluma...malezi ya masingi mom n ya kipuuuzi kama mtoto alielelewa na bibi tuu..
 
Acha kupanic mkuu. Ukiwa na ZERO chuo kikuu sahau mpaka urisiti hakuna cha kurudia sijui form two au three kwa jina lile lile labda uibe la mtu
Naona unapenda ligi. Unafikiri kila mtu anaefeli bongo anarudia kama wewe. Kuna njia nyingi za kufika chuo sio lazima urudie. Haya umeshinda.
 
Tatizo wabongo wengi tunadanganyana upuuzi. Billgate hakuwai kufeli sehemu yoyote katika elimu yake in short he was the best mpaka akafika havard. He is a dropout and not a failure same to mark and many more. Hawa watu elimu haikuwai kuwashinda bali wao walikuwa na akili nyingi na hawakuona umuhimu wa kuendelea kusoma kwa kipind hiko.
Tupeane moyo lakini tusitoe mifano ya uongo ili kuwapa moyo. Kufeli shule sio kufeli maisha coz elimu ya darasani ni njia moja tu ya kufikia mafanikio bado ana nafasi kibao tu za kutoboa.

Lakini kunfananisha genious billgates na mark na hao ngumbaru wa mtaani wanaopata div zero ni kuwashushia heshima hawa magenious

Nawasilisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto wa Kajala si ndio yule aliyepigwa mti na njemba mpaka wakarekodi na video? Alitrgemea nini wakati alikuwa anawaza miti tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kulia na kuropoka basi kubali ulibug kama shosti ako zama
Tatizo upeo wako umeishia UD and the likes. Ndio maana nimekwambia sio kila anaefeli anapoteza muda kurudia.
 
Kumiliki smartphone,kuvaa chupi instagram sio sababu ya kufeli.Kumbuka kuna mabinti hawana
smartphone na hawajui chochote kuhusu instagram lakini wamepata zero as if wametumwa na kijiji.
Trust me kuna mabinti wavaa vichupi instagram,wana mabwana zaidi ya wawili ,wanapiga bangi na pombe balaa lakini darasani wanakimbiza balaa. Bila shaka huyo binti hana akili ya darasani ndio maana kafeli, ila kama ana akili ya maisha atafanikiwa kama Bill gate.
Halafu kuna watu wanashangilia kufeli kwa huyu binti kisa ni mtoto wa star.
Uchawi sio mpaka upae.
Samahani kama nimekukwaza.
USIKU MWEMA.
Point sana hii
 
Watu wanapenda kuwafananisha magenius na vilaza, tuwafananishe na type za akina Diamond Platnumz hao ndo shule haijawasaidia saaaana na wanapiga maisha, ila sio Bill Gates au hata Mark Zuckerberg hao ni watu tofauti sio wa kujifananisha nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill gates, zackburg, na steve jobs waliacha chuo sio kufail. Watu wanatakiwa watofautishe kufail na kudrop out kwa kuacha sio kufail. Dont wait mpaka ufail ndo uanze kukandia elimu, hiyo inakuwa a very lame excuse

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka wali drop Harvard sio udsm they better take a note,havard mtu 1product ya havard tunae hapa tanzania anasumbua sana ,mikataba yote ya upigaji yupo, na hashtakiwi,maana hakuna ushahidi wa kumfunga,anatumia akili,pale hawasomi wajinga ni vichwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko katika ukurasa wa Instagram baada ya kusemekana kuwa mtoto wa kajala hakuwa na matokeo mazuri katika mtihani wa kidato cha nne, mastaa mbali mbali walijitokeza kwa wingi wakimkingia kifua mtoto huyu na mmoja wapo alikuwa ni Zamaradi Mketema

Zamaradi alimtia moyo mtoto huyu kwa kumfananisha na billgate kwani hata yeye alofeli na leo ni tajiri wa dunia, ndipo watu kwa Hasira walipovamia page yake na kumwambia asimfananishe paula na Billgate

View attachment 1006398
View attachment 1006399

My take

Mambo yote yanayomkuta huyu mtoto ni kutokana na tabia za mama yake kumchoresha kwenye mitandao angali hata shule Hakumaliza ni vyema angemtuliza tu kimya kimya kuliko kumtangaza tangaza mwishowe watu wamemuanika

Pili zamaradi uache kuandika magazeti ambayo hayana kichwa wala mguu, Billget hakufeli shule yule alikuwa ni Genious ambaye alikuwa na skills za computer kuzidi hadi walimu wake, alifika hadi chuo kikuu bora zaidi duniani na akaacha mwenyewe ili afanye anachokiamini, pia uwakanye hawa mabinti wa skuizi

Mtoto wa kike yupo form two tayari anasmartphone kali , hasomi kazi kukesha mtandanoni akisaka mabwana, unategemea atasoma saa ngapi, na mmoja wao ni huyu paula kutwa nzima kujichoresha yeye na mama yake wamevaa vichupi instagram alafu unasema atakuja kuwa billget?



Sent using Jamii Forums mobile app

Zamaradi?

Well,I dont trust that thin evil woman!

I'm sorry!

I'm smart enough to know an evil woman when I see one!
 
Zamaradi amejitahidi kushauri ingawa kwenye mifano kachemka aongeze bidii katika kushauri atafika mbali hapo mbeleni
 
Back
Top Bottom