Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Jay Z hakwenda university ila ana kipaji chake mwenyewe, Mayweather ana kipaji, ila Mo Dewji alipiga elimu, akina Dr Dre walipiga elimu tofauti inajulikana ila cha muhimu uwe na kitu chako binafsi ndo utatoboa dunia hii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufeli mtihani sio kufeli maisha na kufaulu mitihani sio kufaulu maisha.
Kwa mazingira ya Tanzania mtoto wa kike akisha feli shule, amesha feli maisha......


Huyu Zamaradi sijui katumia Cocaine ya wapi hadi kutoa mlinganisho wa hao alio wataja wakina Bill Gates....


Huyu mtoto wa Kajala aende kwa baba yake akamfundishe kutengeneza beat za mziki na jinsi ya kuvuta bangi
 
Huyu Zamaradi anatumia kitu kizito sana mtu mwenye akili timamu hawezi kusema Bill Gates darasani alikuwa kilaza, mtu darasani uwe kilaza halafu upate nafasi ya kusoma best unv in world? Like serious?
 
Kwani kwa nchi zengine mtoto wa kike akifeli anaweza kufanya ambako Tz haiwezekani kufanya?
 
coco ukiachana na politics upo vzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa vizuri Ktk sector nyengine lkn sio shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unailinganisha mazingira ya Tanzania na Marekani... Ww dogo unatumiaCocaine?
Sijalinganisha Marekani na Tz,wewe umesema mtoto wa kike akifeli mitihani hapa bongo ni kwamba amefeli maisha wakati wapo ambao wamefanya mambo ya maana japo hawakufaulu mitihani ndiyo nikauliza kwani huko kwengine angefanya nini ambako huku hawezi kufanya hadi useme ameshafeli maisha? kwa sababu tukisema tulinganishe Marekani na Tz basi hata huyo Bill gate pengine asingekuwa hivyo alivyo kama angekuwa mazingira ya Tz.
 
Upo high..
 
Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…