Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Huyo manzi kaumizwa Sana , alaf pia inasemekana ( sina uhakika) kiafya ameparanganyika , ana viashiria vya Sonona , huyo mwamba aliyejitupa kwake anaona ndo tumaini la mwisho, mkija kuachana lazima uwe overstressed Kwa vijembe vya wanazengo , ni ujinga wa standard gauge
 
Kwenye afya hapoo....
 
Basi awakodishe IMANI,UPENDO na MIUJIZA tujue moja.
it doesn't matter guys [emoji16][emoji16][emoji16]kitu cha muhimu ni furaha yake yeye binafsi sio furaha yenu nyie waja.
Kitu cha msingi kwake ni mume wake ameona amefurahi ametokwa na machozi[emoji16][emoji16] ile ni furaha yao wawili nyie msiopenda mtaita mnavotaka af uzuri hamna hata input yoyote kwenye mahusiano yao.
Mie nitamfanyia msichana wangi kitu chochote katika vile ambavyo nyie mnaona ni utoto na hamna kitu mtanifanya[emoji16][emoji16] ukijua msichana wako anapenda kupostiwa bana bana[emoji16][emoji16] mpost kote mpost muweke hata picha yake kwenye kioo cha nyuma cha gari yako ili afurahi
 
Mapenzi ni utoto ndio maana mnaitana baby
 
Ukikua utaelewa...Hizo Ni drama tu
 
Ukikua utaelewa...Hizo Ni drama tu
[emoji16][emoji16][emoji16]sihitaji kukua ili kuelewa. Love is meant to be enjoyable. Kama wewe na mtu wako mnaishi namna flani na mna enjoy thats you msitake wote wawe kama nyie afterall kila mtu ana vitu anavopenda. Ndo mana mwingine hapendi kuwekwa public mwingine ndo furaha yake sasa unamfanyia mtu wako kitu anachopenda. Call it drama whatever lakini hio ni furaha ya mtu
 
Kumuweka Mpenzi wako kwenye Mabango ni Ulimbukeni tu na Ushamba. Hivi unaweza kumpenda mtu kiasi kwamba unambandika kwenye mabango duh.
Hivi unajua kupenda wewe? Kupenda ni wazimu, Ombea usikutane na wazimu wa kupenda, Utadata.
 
Mbona Kama umepanic vipi kwani we ndio umeweka bango?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ule Ni UNAFIKI TU.....anataka kumrusha roho Faiza Ally na Shamsa Ford...Wellcome to Dar es Salaam...kaa hapo endelea kuamini ujinga
 

[emoji3][emoji3][emoji3]sijui anampa nin
 

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…