Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

[emoji16][emoji16][emoji16] mie ni panick kisa gani? kila mtu aishi namna anavotaka. Nyie mnamuona ana unafki mnaongea mawazo yenu ambayo sio lazima iwe ndo uhalisia. Kila mtu anafanya kitu kinachompa furaha yeye binafsi afterall mapenzi hayanaga kanuni.
Sawa na ule ujinga wanawake wanaambiwa kwamba mwanaume akikasirika usimjibu. Kwa wanaume wengine akiongea af ukakaa kimya anaona una kiburi hapo ndo unaharibu zaidi.
So jifunzeni kuishi mnavyotaka kulingana na aina ya mtu mlienae. Period.
dada kaona mume wake anapenda nini kampa anachopenda af nyie ndo mnateseka[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa haraka tu Jamaa anapanga kuvuta chombo ingine mwanamke kaona bora amtundike tu pale,kulinda ndoa yake.
 
Respect kwako ....[emoji1666]

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Aliyeielewa thd anieleweshe!
Nini kimetokea?
Zamaradi kafanya yake kaprint bangooo kubwa lina picha ya mme wake kalitundika mji mzima ya dar, kuanzia stendi mpya uko mbezi kote ubungo hadi posta ni kubwa kama zile za kutangaza maonyesho ya 8,8.

Kasema limelipiwa mpaka mwezi mzima. Hata kimbunga job hakiwezi litoa. Bongo tamu.

Maa selebrity wa bongo nawajua vizuri wataacha hili lipite baada ya miezi kadhaa, huyo mwanaume atakuja injia kwenye 18 za mdada mmoja, atahakikisha wakiwa faraga anajipiga picha wakiwa wote atapost insta. Siku hiyo ndo tutamkumbusha zama nini maana ya kumtundika mme bangoni
 
Write your reply...hata nikupende vp sikupost kokote kule ktkt mtandao ni btn mimi na wewe wajue nakupenda ili iweje sasa..huo.ni utoto
.
....
Hata mimi siwezi sema ninachoweza fanya ni status tu naweza mpost tofauti na hapo no. Wanaume wenyewe hawa hawa anakutafutia sababu ya ugonvi? Nyoloooooo zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…