Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

Kubali hamna malls za kutosha
Nilishawaambieni watanzania tunapenda kununua mahitaji yetu kwenye masoko.
Jijulishe na kinachoendelea duniani, wacha kukaa tuu bongolala.
Tembea Dubai alafu urudie hapa kwamba malls ni za 70s.

Hii mpya imefunguliwa mwezi huu New York. Dream Mall.
Amini nakuambia, malls nyingi zinafungwa huko unakokutaja sababu ikiwa ni kizazi cha sasa kimebadilika, na siyo malls tu, chain nyingi zimefungwa. Moja ya sehemu niliyokuwa napenda sana kununua vitu vya electronics ilikuwa inaitwa Circuit City, hawa jamaa biashara iliwashinda kwasababu ya wimbi la mauzo ya mitandaoni.

Kuna bookstore moja niliyokuwa naitumia kama "hunting ground" (sambamba na Barns&Noble ) iliyokuwa inaitwa Borders hii nayo ilijifia kwasababu walishindwa kukabiliana na wimbi la manunuzi ya mitandaoni. Kwa hiyo siyo malls tuu, kuna maduka makubwa mengi sana yaliyotamba zamani ambayo sasa yamekufa.
 

Starbucks ni investment kubwa.
Haiwezi funguliwa pahali wenyeji hawana pesa.
Return on Investment lazima iangaliwe. Na sio starbucks pekee.
 
Starbucks ni investment kubwa.
Haiwezi funguliwa pahali wenyeji hawana pesa.
Return on Investment lazima iangaliwe. Na sio starbucks pekee.

With or without Starbucks, life goes on. People are still living.

We grow coffee in Tanzania. We can drink our own coffee.

It’s not like without Starbucks there won’t be coffee to drink.

Furthermore, even if Starbucks were to open in Tanzania, I doubt it’ll be a success.

Why? Because, why would anyone pay an arm and a leg for a cup of coffee when they probably can buy a whole can of coffee for the same price or lower and would last for weeks or even months...
 
Reply murua kabisa hii
 
Class my friend.
 
Sasa ww embe nyonyo nikuulize ....hizo mall 100 Za NBO mbona hazijaonekana na wageni? Hyo Ni quick research tu na kama umeona mall zazidi kujengwa na wako kimya...
The question is so simple. What data did that guy present to prove his claims that Zambia has more malls? This is just a vlogger who is probably trying to market his channel to Zambians. We have seen so many such claims from random people saying things they can't even prove. Hata mimi naweza Fungua channel yangu niseme anything and people (the ignorant ones of course) will believe anything I say without taking time to dig deeper. Kenya has the biggest retail market in sub-Saharan Africa outside South Africa and so many reports have said so as you can see below. Take time and read the links then tell me where Zambia or Lusaka has been mentioned anywhere





I haven't seen Lusaka or Zambia being mentioned in any of those reports
 
Watu walioendelea siku hizi wanaachana na habari za mi malls, wanamaliza manunuzi online. For the most part.

Nyie bado mnashangilia na kushindana kwa namba za mi malls?

Tena ambayo inauza zaidi vitu ambavyo hamjatengeneza?

Ulimbukeni gani huu?
It's clear you don't know what you are talking about. The biggest mall in the world is found in Dubai, UAE, one if the most developed countries on the world. China and USA also have some of the most vibrant mall markets in the world, same as Canada, all of which developed countries. It's good to do a little bit of research before posting
 

Where in the world are you right now?
 
That report excluded SA for obvious reasons. SA accounts for 88% of letable mall space in Africa. That's a very high number
 
Unafahamu kinacho endelea jumia kenya muda huu 😂😂😂
Hebu tujulishe kinachoendelea. Hivi, walishafunga duka kama walivofanya huko bongolala na hatuna habari? 😂 😂
 
Kuna amazon na ebay mall unaenda kufanya nini?
Hata hiyo online shopping Tanzania bado inalegea tu. Just two weeks ago Jumia closed their operations in Tanzania
 
Darasani mlisoma naye wapi? Kwenye ndoto yako pengine. Jamaa kasomea Aeronautical Engineering huko China. Wewe ulisomea kijitonyama high school.

A common Kenyan syndrome, Wewe hujawahi toka nje ya Murang’a but you try hard to know everyone here, Even my friend was taking Environmental Engineering in china and that guy was his College-mate.
 
Kabisa. Kuna mtu hapa anawabeza Wakenya kwa "kuwa na malls chache" anasahau kuwa kuna international companies nyingi tu zina regional offices Kenya. Anasahau kuwa online business ndio mpango mzima dunia ya leo.

Huyo jamaa unaejitutumua kumquote ana uelewa mpana kuliko wewe, anaongelea mambo kama yalivyo,. Wewe akili yako size ya kuku, tazama umeshaanza ligi tena,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…