Zangira ni nani na katumwa na nani kuwashughulikia akina Lema huko ughaibuni?

Dai katiba,hizi sheria zibadilishwe

Katiba kwangu haijawa kipaumbele maana hata hii hii tu inavunjwa kila siku....yapo yanayoweza kubadirishika bila hata hiyo katiba mpya tusiwe oyaoya....kama tuliokuwa nayo haijawahi kusimamiwa tunawezaje kuiita mbovu..?
 
Ata TL aliporipoti kufuatiliwa na wasiojulikana wakiwa kwenye gari ilisemwa ni kiki.

Lisemwalo lipo,huyu muuaji afuatiliwe na serikali za magharibi na ikibidi wamrudishe akiwa kwenye 'casket' ili waliomtupa wakazike uchafu wao
Mawazo mgando hayo
 
Huu ni uchonganishi na uzushi. Serikali ya awamu ya 6 iko busy kuboresha maisha ya watanzania kwa kuimarisha miundombinu ya afya, elimu, maji, usafiri, kilimo, uwekezaji nk
 
Warafute namna.Get rid of the modafantasia as quickly as possible!
 
Huu ni uchonganishi na uzushi. Serikali ya awamu ya 6 iko busy kuboresha maisha ya watanzania kwa kuimarisha miundombinu ya afya, elimu, maji, usafiri, kilimo, uwekezaji nk
Sentensi rahisi kama hizi muwe mnatoa kwenye kitchen party.
 
Kwa vyovyote vile kila mtu anapaswa kua makini.hizi nchi zakiafrika zina ujinga mwingi wa asili.Chuki,woga,fitina,wivu,hatupendi ukweli wala kukosoana na maujinga mengine mengi kama hayo kwahiyo tahadhari ni muhimu.Tuliona mambo mengi ya ovyo kwenye hii nchi,Bilionea kutekwa hadi leo ata uchunguzi hatujui ulikoishia,lissu kupigwa risasi,roma kutekwa,waandishi wa habari kuingia matatani,Ata mtandao wa Jamii Forum ulikua matatani kwa kiongozi wake kua na kesi mahakamani.Kwahiyo itoshe tu kusema kwa Afrika lolote linawezekana maana tunawaza kuumizana,kukomoana na ujinga zaidi kuliko maendeleo.
 
Aya mawazo unayo wewe ila wengine hawawezi kuwaza kama wewe.kwahiyo wacha wahusika wachukue tahadhari.kwasababu likitokea lakutokea hutasaidia chochote zaidi yakusema walikufa kizembe na R.I.P.
 
Kagame hajawahi na wala hata subutu kuua Mtu kwenye Nchi ya Mzungu,madhara yake anayajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninajua ni kwamba assassination haifanyiki kishamba km ya uku kwa kumiminia mtu risasi..

Uko wanawaua kikemia kwa kutrace mienendo yao kisha kuwapandikizia sumu ya muda mrefu na mfupi...let's be on alert nway
 
huko CDM bila shaka kuna wanasheria wasomi, kwahiyo tutasubiri CDM ishike dola ndio Makonda aburuzwe mahakamani? au tunasubiri huruma za watawala ndio tupate haki? hao wanasheria wetu hawana cha kufanya ili bwana Makonda aburuzwe kortini?


Mkuu naona unajivua nguo.

Mtu akiuawa hata hapo mtaani kwenu au kupigwa RISASI jukumu la serikali ni kuhakikisha Mhalifu anachukuliwa hatua.
Sio lazima uende kushtaki. Kazi moja wapo ya serikali ni kulinda Raia,

Uwe unajiongeza,
 
Mkuu naona unajivua nguo.

Mtu akiuawa hata hapo mtaani kwenu au kupigwa RISASI jukumu la serikali ni kuhakikisha Mhalifu anachukuliwa hatua.
Sio lazima uende kushtaki. Kazi moja wapo ya serikali ni kulinda Raia,

Uwe unajiongeza,

Serikali imeshindwa kulinda raia wake sasa, wewe unachukua hatua gani kuhakikisha haki ya ndugu yako inapatikana? hapa ndipo poiny yangu ilipo... Au unakaa unasubiri huruma ya huyohuyo aliyeshindwa kukulinda?
 
Serikali imeshindwa kulinda raia wake sasa, wewe unachukua hatua gani kuhakikisha haki ya ndugu yako inapatikana? hapa ndipo poiny yangu ilipo... Au unakaa unasubiri huruma ya huyohuyo aliyeshindwa kukulinda?


Unajua maana ya serikali lakini?

Serikali ikishindwa kujenga Flyover au Hospital kubwa wewe utachukua jukumu gani?

Serikali kazi zake ni zile kubwa kubwa ambazo zinaikabili jamii,

Assume Mkeo kauawa na watu wasiojulikana, tukio hilo likafahamika na vyombo vya Dola, alafu uchunguzi haufanyiki, hakuna kinachoendelea, wewe utafanyaje? Utafikiria nini?

Au unataka kusema wachukue sheria mkononi?

Au wafanye uchunguzi Jambo ambalo ni KAZI YA serikali kupitia vyombo vyake.

Au unamaanisha wapambane na serikali? Ambayo kimsingi ndio yenye wajibu wa kufuatilia Jambo Hilo?
 
Unatetea kitu gani ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Unaandika uongo jf kwa kudhani utamdanganya bwege gani ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Nani walimpiga risasi TL..


Unamuuliza kwani yeye ndiye mwenye jukumu la kumlinda Tundu Lisu?

Unaniuliza kwani yeye ndiye mwenye jukumu la kufanya upelelezi na uchunguzi?

Mkuu embu jaribu kutumia Akili yako vizuri.

Unauliza maswali Kama mtoto bhana
 

Ok, kumbuka pia tunayemzungumzia sio mtu binafsi bali kiongozi wachama, chama ambacho ni taasisi yenye wings tofauti tofauti, wing ya masuala ya usalama na wing ya mambo ya nje...Hizo wings zimechukua hatua gani kuishinikiza Serikali?.... juu ya haki ya mhusika?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…