Watu wamechoookaaaaMkuu hakuna jeshi linaloweza kuishinda nguvu ya UMMA , halijawahi kutokea mahali popote pale duniani. Raia wakisema sasa basi si risasi mabomu na maji ya pilipili yatakayozuia dhumuni lao la kupambana na uonevu.
Punguza hasira jombaa unarusha povu la kufa mtu.Look yaani wameshindwa kuondoka hats na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu
Polisi wa bara wapelekwe Zanzibar kudhibiti huo uhuni askari hawezi.kimbia RAIA mtupa mawe akashindwa kuondoka nao hata wawili tu wa kuwafungulia kesi ya ugaidi waozee ndani miaka huku wakiwa wametiwa vilema vya maisha
IGP omba maelezo ya kueleweka kama hawakuondoka na gaidi hata mmoja hapo
Hao ni magaidi wakidakwa hiyo ndio kesi yao ni vikosi vya kigaidi vikishambulia vikosi vya serikali.Kusiwe na huruma hata chembe kwenye hilo
Watu wamechoookaaaa
Ameleta wajeshi kutoka nchi jirani
Itakuwa mmoja akihojiwa aongee lugha tofauti utakuwa ushahidi mzuri icc
Karibu kunakucha...
mitaa huhitaji kuijua siku hizi teknolojia ipo google map tu inakuonyesha kila kituWaleteni hao polis wa bara ndio wazuri hasa mazali mitaa hawaijui waleteni twa watamani sana maanaa hao
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
gaidi wewe safari HII jiandae kuozea ndani ukaungane na wale magaidi masheheWananchi wakiamua lazima busara itumike ,risasi haziwezi kuzuia nguvu ya umma ,utaua watu kadhaa lakini wananchi lazima wakugeuze kitoweo maana risasi zitaisha tu.
Sasa basi ,unyanyasaji watosha ,mshaelekea qiblah tar 27 na 28 "tunawachinja" na "vichinjio vyetu".gaidi wewe safari jiandae kuozea ndani ukaungane na wale magaidi mashehe
JWTZ ni jeshi la wananchi mwananchi mkorofi hawezi kulishindaHamna jeshi linaloweza kuwashinda wananchi
Unahangaika sana jombaa.JWTZ ni jeshi la wananchi mwananchi mkorofi hawezi kulishinda
Kuna hatari mitandao kuzimwa ili kuficha mauaji makubwa na kutisha kuanzia wakati wowote.
Uchaguzi wa.mwaka huu ni wa kipekee....dunia ya mwaka.2000 ni tofauti na ya mwaka 2020....kama 2000 ulikuwa ni katoto/kavulana kadogo unaweza ona hawa jamaa wanafanya jambo la ajabu kweli kweli.
ila kimsingi hawa nao kuna kitu wanatamani kujifunza.ili waache mihemko kwa miaka 20 ijayo.
Uchaguzi wa.mwaka huu ni wa kipekee....dunia ya mwaka.2000 ni tofauti na ya mwaka 2020....
Nikisoma saikolojia ya maandishi yako wewe bila kupepesa macho ni askari /Polisi
Huyo Hussein Mwinyi hata wana CCM WA Zanzibar hawamtaki.....Ngoma nzito sanaaaHusein mwinyi hawamtaki Zanzibar
Sawa!!!!unasoma saikologia mwaka wa ngapi huu kijana wangu!!!!
bado siku 1 tu.utaelewa nnachokwambia.
Kwataarifa yako hao polisi ni nothing out of uniform...uniform zinawabeba Sanaa......Usitake wauawe kama kukuPolisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu