Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sehemu kwenye katiba polisi aliporuhusiwa kumdhuru mwananchi kwa silaha ya moto ikiwa mwananchi huyo hana silaha ya moto.Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.
Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.
Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Waathirika wa vikwazo ni sisi wananchi na sio watawala,waadhibiwe watawala ikiwezekana physical na sio sisi wanan
Hakuna sehemu kwenye katiba polisi alipiruhusiwa kumdhuru mwananchi kwa silaha ya moto ikiwa mwananchi huyo hana silaha ya moto.
Kama wakaiwapiga risasi na wanachi hawana risasi wana la kujibu ,kama ni mawe kuna njia nyingi tu za kuwatawanyisha .
Simple sana ukiwa nyuma ya keyboard , cha msingi watu wapewe wanachokitaka si kuleta figisu daily, we unadhani malawi walichofanya juzi tu hapa inashindikana?Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo hadi wakumbuke bibi zao waliofariki
Tatizo hapo in kutokuwa na askari wasio na uniform mitaani.Chukueni makomandoo wavalisheni nguo za mitaani waingie mitaani
Zanzibar mitaa mingi imebanana nyumba kuwadaka hao wahuni kazi ndogo mno sababu vichochoro vichache na vidogo rahisi kuwazingira pande zote na kuwabana kati
Sehemu korofi shusheni makomandoo wavalisheni hata hijabu na kanzu
Vipaumbele vyote ni lzm viguse maslai ya wananchi na sio vipaumbele vya watawala thus ndo jukumu la kulipa Kodi ili uletewe maendeleo, huwezi ridhisha wote lkn upimwa angalau 75% .Mtz gani aliyekaa chini akalalamika maisha yake ni magumu sababu hakuna ikulu mpya,Chato international,makao makuu Dom, ndege.Vipaumbele vya watawala sio vipaumbele vya wananchi.
We unaota na wakati kumesha pambazuka ?Look yaani wameshindwa kuondoka hata na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu
Polisi wa bara wapelekwe Zanzibar kudhibiti huo uhuni askari hawezi.kimbia RAIA mtupa mawe akashindwa kuondoka nao hata wawili tu wa kuwafungulia kesi ya ugaidi waozee ndani miaka huku wakiwa wametiwa vilema vya maisha
IGP omba maelezo ya kueleweka kama hawakuondoka na gaidi hata mmoja hapo
Hao ni magaidi wakidakwa hiyo ndio kesi yao ni vikosi vya kigaidi vikishambulia vikosi vya serikali.Kusiwe na huruma hata chembe kwenye hilo
Mkapa hakwenda the Hague kwa sababu hakukuwa na Watanzania waliomshikia bango aende huko.kama the Hague imemuacha mkapa mpaka amefariki kifo cha kawaida kabisa,haikuwahi kusema neno.unadhani mwaka huu mtakuwa mmewapa kitu gani,ili mtakapofanya uhuni mgongwe ianze kushughulika na nyinyi!!!!
nenda kachunguze ya nigeria yanavyoendelea,ndio utajua duniani hapa hakuna haki,bali una nini ili upate nini,that simple.
Hata wao ni binadamu kwanini wafe kwa mshahara wa laki mbili.Hao Polisi wanaubinadamu,mikononi wanavyuma alafu wanakimbia mawe!?Polisi wetu wanautu na huruma sana.
Hii ndiyo maana ya uzalendo wa kweli .Mpaka sasa najiuliza kwa nini awamu hii imeamua kumwaga damu za watu kwa kiwango hicho?
Hivi Magufuli haoni kuwa wanaomzunguka wandanganya ? Hata kama atarudi kwa nguvu lakini atastaafu na kuishi kwa shida sana.
Kenneth Kaunda mpaka sasa Yupo Hai. Anaheshimika na anatambulika kama Baba wa Taifa la Zambia. Hakutaka kuingiza Taifa lake kwenye Umwagaji wa Damu kwa kutaka abaki madarakani. Alikubali kuwa Chama chake kimeshindwa na maisha yanandelea . Zambia hawajapigana vita kwa sababu walizingatia haki.
Sasa Naona kila dalili ya JPM kuwanufaisha wachache wenye uroho wa madaraka na Mali ndani ya CCM lakini yeye baada ya kustaafu atakuwa na wakati mgumu sana mana Tanzania CCM inazidi kupukutika kwa kadiri wanzanilishi wake wanavyozidi kuzeena na wengine kutangulia mbele za haki. Ukiangali kwenye mikutano mingi ya CCM wengi ni wazee lakini Upinzani wengi ni vijana wadogo ambao wanaonekana kuupenda uoinzani kwa dhati bila kupewa fedha wala vyeo kama ilivyo kwa CCM ambao wengi wapo kwa sababu ni Chama chenye maslahi yote ya nchi hii.
Hua naangalia hata kwenye magrup ya kijamii wengi wanaoiunga mkono CCM ni wazee na watu wenye nafasi za madaraka au wanaonufaika kimadaraka moja kwa moja au ndu zao.
Hivyo ningekua ni Mimi ndio JPM nisingevuruga Mwafaka uliofanywa na watangulizi wake na kuifanya Zanzibar kuwa moja na kutulia kabisa .
Nisingedharau Katiba mpya iliyoanzishwa na mtangulizi wake kwa gharama kubwa sana.
Nisingevuruga Demokrasia iliyoasisiwa na watangulizi wake.
Kuvuruga Mwafaka wa Zanzibar, kuvuruga Katiba ya warioba ,Kuvuruga Demokrasia ni wazi kabisa kuwa Awamu hii haiwajali wananchi moja kwa moja na mahitaji ya mioyo yao zaidi ya kuwafanya kama watumwa kwenye nchi yao kwa sababu hayo ndiyo mambo yanayowafanya waishi kama watu waliostarabika.
Tunaletewa maendeleo Kikaburu kwa mitutu ya Bunduki .
Awamu ya Tano itampa wakati mgumu sana Rais wa awamu ya Sita hata kama atatoaka ndani ya CCM . Kama Ufisida uliofanywa na awamu zilizopita ulivyoisumbua awamu hii ndivyo pia na uvuniifu wa haki za watu na mauaji vitakavyoisumbua awamu ya sita. Awamu ya sita ikijaribu kurejesha muafaka itajikuta inatengeneza vikundi vya kulipa visasi,vinginevyo tuwe tumeamua rasmi kuwa Tanzania tunaendelea kutawaliwa Kwa mkono wa Chuma daima.
Awamu hii imeturudisha nyuma sana na itakuwa ni vigumu sana kuirejesha Tanzania kwenye umoja na mshikamano mana kuna watu wametumia miaka mitano yote kuhubiri mauaji kama alivyofanya Musiba na Kheri. Sasa watu wa vyama vingine nao wakaamua kuhamasishana na kupinga kuuawa wao tuu na familia zao kubaki zinateseka huku familia za wauaji ndani ya CCM zikipeta na kula raha kana waliomuua Alfonsi Mawazo ambao hawajakamatwa mpaka Leo. Hali inayosababisha watu wahisi kuwa hakuna Haki kwa wapinzani.
Rais wa awamu ya Tano amekua zaidi kama Mwenyekiti wa CCM kuliko Rais wa nchi kwa muda wote hata maendeleo ameyatoa kama vile wakoloni walivyotoa kwa malengo ya kwao huko Ulaya naye ametoa kwa baadhi ya maeneo kwa mikakati ya kushika dola tu na kujenga Chama chake lakini sio kama Jukumu la Rais na serikali inayochukua kodi kwa wananchi.
Kuna changamoto kubwa sana inayotunyemelea chini ya Awamu hii iliyojaa wapenda madaraka na watu katili wabinafsi wanaojiona kuwa hawana Mwisho wa kuishi duniani baada ya kuona mifuko yao imejaa mapesa na mali zimewazunguka kila kona na benki kuu ni Mali ya familia zao.
Kwa hiyo mkuu we unafurahia kutokuwepo hakikama the Hague imemuacha mkapa mpaka amefariki kifo cha kawaida kabisa,haikuwahi kusema neno.unadhani mwaka huu mtakuwa mmewapa kitu gani,ili mtakapofanya uhuni mgongwe ianze kushughulika na nyinyi!!!!
nenda kachunguze ya nigeria yanavyoendelea,ndio utajua duniani hapa hakuna haki,bali una nini ili upate nini,that simple.
Mkapa hakwenda the Hague kwa sababu hakukuwa na Watanzania waliomshikia bango aende huko.
Sasa hivi watashikiwa bango ndani na nje ya nchi mpaka watafikishwa huko!. Waambie waue watu kisha waje waone!
Mkuu tema mate chini, hiyo kitu si nzuri kabisa!Nashauri patokee Vita basi. Sioni dalili ya kuheshimiana nje ya vita
Jukumu letu kubwa ni kutenda yale ambayo sheria inatutaka kutenda.Askari siku zote ndo chanzo cha vurugu tendeni haki na sio kuumiza watu kwa maslai ya wasiowaongeza mishahara Wala kujali maslai yenu
Kutokujielewa kwao.Mnafurahia raia kurushia polisi mawe. Wakati huohuo mnachukia polisi kupiga raia virungu.
Hii ndio haki inayopiganiwa!
Mrusha mawe ukidakwa unashambulia vyombo vya ulinzi na usalama hiyo ni kesi ya ugaidi utaozea ndani shauri yako
Mkuu haya maneno yako yanaonesha kwamba wewe ni Intarahamwe.Mtu mwovu. Shetani Mbaya sana wewe.Wale askari wametumi busara na uumilivu mkubwa sana. Wameondoka eneo la tukio baada ya kuona kwamba wataweza kujikuta wanamwaga damu sababu ya mihemuko.Ni heshima sana kwa Jeshi La POLISI kuwa na weledi wa kujua ni wakati gani kutumia nguvu na wakti gani kutumia hekima.Look yaani wameshindwa kuondoka hata na mtupa Mawe mmoja tu wakamwonyeshe cha mtema kuni? Hapo ilitakiwa waondoke na sampuli moja tu..