Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Duh.. Mkuu kwahiyo Lisu ni zaidi ya tume?

Unauliza au unapigia jibu mstari? Hiyo tume imejaa makondoo wanaoweza kutii chochote wanachoagizwa na jiwe, huyo Tundu Lisu umemuona anasujudu sanamu?
 
Unauliza au unapigia jibu mstari? Hiyo tume imejaa makondoo wanaoweza kutii chochote wanachoagizwa na jiwe, huyo Tundu Lisu umemuona anasujudu sanamu?
Mkuu kwahiyo unaamini kwamba tume hii itatenda haki kwa kumuogopa Lisu
 
Mapokezi ya wagombea wa uraisi wa Jamhuri na ya Uraisi wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo imeonyesha dhahiri vipi Wazanzibari walivyochoka na CCM..

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo target ni kuwa Chama kikuu cha upinzani kwa style hii hakuna haja ya kuungana
 
Mkuu kwahiyo unaamini kwamba tume hii itatenda haki kwa kumuogopa Lisu

Haitatenda haki, bali wakiagizwa kutokutenda haki, basi kuna wa kuagiza haki itendeke. Na hali hiyo italeta mabadiliko makubwa kwenye hiyo tume ya kihuni.
 
Membe huku bara hana ushawishi wowote ye alikuwa anabebwa tu na CCM kipindi kile lakini baada ya kutoka CCM hana chochote cha maana.Kwa bara Membe anaachwa mbali na TAL
 
Haitatenda haki, bali wakiagizwa kutokutenda haki, basi kuna wa kuagiza haki itendeke. Na hali hiyo italeta mabadiliko makubwa kwenye hiyo tume ya kihuni.
Kwa hiyo huyo mtu unaamini hataagiza kwa kumuogopa Lisu?
 
Kwa hiyo huyo mtu unaamini hataagiza kwa kumuogopa Lisu?

Hamuogopi Lisu na wala hatakaa amuogope akiwa na madaraka, ila Lisu naye sio muoga wa hivyo. Hivyo atakapoagiza uhuni ufanyike kwenye box la kura kisha kutokea tafrani yoyote, hiyo itamuuandama maisha yake yote.
 
Kwani safari hii hiyo tume haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…